
JKT Tanzania vs Kagera Sugar:NBC Premier League 24 Oktoba 2026
- JKT Tanzania vs Kagera Sugar NBC Premier League 2026/27.
- Saa 1:15 pambano hili kali litapigwa Uwanja wa Meja Gen.Isahmuhyo, Mbweni, Dar.
- JKT Tanzania kwenye msimamo ipo nafasi ya 5 inawakaribisha Kagera Sugar walio nafasi ya 15 na pointi 6.
Wanakutana JKT Tanzania vs Kagera Sugar katika mchezo wa NBC Premier League 2026/27.Wababe hawa wanakutana Uwanja wa Meja Gen.Isamuhyo.Pambano hili muda wa kuanza ni saa 1:15 kwa Afrika Mashariki.JKT Tanzania kwenye msimamo nafasi ya 5 ikiwa na pointi 13 inawakaribisha Kagera Sugar wenye pointi 6 nafasi ya 15 kwenye msimamo.
SOMA HII PIA:JKT Tanzania: Ratiba, Matokeo na Msimamo Ligi Kuu Bara 2026/27
Vuna mapene kabla ya dakika 90
Una nafasi sasa hivi kuvuna mapene kabla ya dakika 90 kuisha. 1UP, 2UP,3UP ni chaguo lako.Mchezo wa JKT Tanzania vs Kagera Sugar ni fursa kwako.Bashiri kwa uwajibikaji, bofya link hapa chini:-

JKT Tanzania vs Kagera Sugar taarifa
| Kipengele | Maelezo |
| Mashindano | NBC Premier League |
| Mchezo | JKT Tanzania vs Kagera Sugar |
| Uwanja | Meja Gen.Isamuhyo |
| Tarehe | 24/10/2026 |
| Timu mwenyeji | JKT Tanzania |
H2H JKT Tanzania vs Kagera Sugar
16/09/2024, Kagera Sugar 0-0 JKT Tanzania
21/02/2025,JKT Tanzania 2-0 Kagera Sugar
Utabiri JKT Tanzania vs Kagera Sugar
JKT Tanzania baada ya mechi 8 imekusanya pointi 13 ikiwa imepata ushindi mechi 4 na sare 1.Kagera Sugar haijawa kwenye mwendo mzuri.Baada ya mechi 8 ushindi mchezo mmoja ina pointi 6.JKT Tanzania 1-1 Kagera Sugar.
SOMA HII PIA:JKT Tanzania 2-1 Mbeya City NBC Premier League | Highlights | Msimamo
Hitimisho
Pambano la JKT Tanzania vs Kagera Sugar linatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.Kagera Sugar inafundishwa na Cedric Kaze ambaye ana uzoefu na ligi ya ndani.JKT Tanzania wamekuwa wakifanya vizuri kwa mechi za mwanzo msimu wa 2026/27.

