Czechia 0-2 England, UEFA Nations League 2026/27 | Highlights | SportPesa Blog

Czechia 0-2 England
Kane Harry nahodha wa England

Czechia 0-2 England, UEFA Nations League ni matokeo rasmi ya mchezo wa hatua ya makundi kwa Kundi C. Ni Fortuna Arena pambano hilo lilipigwa Septemba 29,2026. Anthony Gordon alifungua ukurasa wa mabao dakika ya 47 na kamba ya pili ilifungwa na Harry Kane dakika ya 69.

SOMA HII PIA: Uefa Champions League 2026/27: Timu, Ratiba, Droo, Mfumo wa Mashindano mpaka Fainali

Je, bado hujashinda pesa? Cheza aviator ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi zaidi ya Milioni 800 muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Screenshot ---------- ------
 

Czechia 0-2 England takwimu za  mchezo

Nyota wa Czechia, Pavel Sulc alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 25. Huu ni ushindi wa kwanza kwa England imefikisha pointi 3. Czechia imepoteza mechi zote mbili hatua ya makundi inaburuza mkia. Vinara ni Spain wakiwa wameshinda mechi zote mbili.

SOMA HII:Georgia 0-1 Northern Ireland UEFA Nations League | Takwimu | Msimamo

Kipengele  Czechia  England
Mashuti 5 21
Mashuti yaliyolenga lango 1 6
Umiliki 32% 68%
Faulo 9 12
Kona 1 2

Msimamo Kundi C

Timu Mechi Ushindi Pointi
1. Spain 2 2 6
2. England 2 1 3
3. Croatia 2 1 3
4. Czechia 2 0 0

Hitimisho

Czechia 0-2 England ni mchezo wa pili kwa wenyeji kupokea kipigo ndani ya uwanja. Oktoba 6, 2026 wababe hawa watakutana kwenye mchezo wa marudiano. Vinara wa kundi Spain hawajapoteza mchezo huku Czechia ikiburuza mkia ikipoteza mechi zote mbili.

 

Share this: