Fulham 1-1 Manchester United (EPL 2026/27)

ByLunyamadizo Mlyuka

September 21, 2026
Fulham 1-1 Manchester UnitedCunhaCunha

Fulham 1-1 Manchester United
Matheus Cunha mfungaji wa bao la Manchester United dhidi ya Fulham

Fulham 1-1 Manchester United ni matokeo kwenye mchezo mkali wa Premier League 2026/27 uliohezwa Septemba 20. 2026. Ni Lisandro Martinez alijifunga dakika ya 63 na Matheus Cunha alifunga bao la kusawazisha kwa Manchester United dakika ya 89. Wababe hawa waligawana pointi mojamoja baada ya dakika 90 mchezo ulipigwa Uwanja wa Craven Cottage jijini London.

Ijue ratiba ya Premier: Premier League: Ratiba, Usajili, Vikosi, Matokeo na Mubashara

Vuna mamilioni sasa hivi ukipaisha kindenge

Kuna jambo umekwama kwa sasa kuhusu mkwanja? Usiogope, rubani ni jasiri na kazi yake ni kupaisha kindege cha SportPesa. Cheza sasa hivi Aviator uvune mamilioni bofya hapa chini, muda ni wako na nafasi ya ushindi inakusubiri.

Fulham 1-1 Manchester United takwimu za mchezo

Maelezo Fulham Manchester United
Mashuti 12 25
Yaliyolenga lango 6 7
Umiliki wa mpira 44% 56%
Pasi 418 563
Faulo 9 5
Kadi za njano 3 0
Kona 3 13

Fulham 1-1 Manchester United msimamo

Nafasi Timu Mechi Ushindi Pointi
12 Manchester United 5 1 5
19 Fulham 5 0 2

 Hitimisho

Fulham 1-1 Manchester United ndicho kilichotokea mwisho wa mchezo.Matheus Cunha ni mfungaji wa bao pekee kwa wageni wakiondoka na pointi moja ugenini. Matokeo hayo yanainfaya Manchester United kuwa nafasi ya 12 kwenye msimamo wa Premier League 2026/27.

Share this: