• Paris FC 3-0 Nice, French Ligue 1, Agosti 30, 2026 Uwanja wa Jean Bouina
  • Lassine Sinayoko alifungua ukurasa wa mabao dakika ya 21 kwa mkwaju wa penalty
  • V Marchetti dakika ya 89 alifunga bao ikiwa imesalia dakika moja mchezo kufika tamati
Paris FC 3-0 Nice
Sinayoko nyota wa Paris FC

Kuhusu UCL: UCL Raundi ya Tatu ya Kufuzu: Mazungumzo ya Mechi za Marudiano

Paris FC 3-0 Nice, ni matokeo rasmi kwenye mchezo wa French Ligue 1. Ni Jumapili Agosti 30,2026 mtananga huu ulichezwa Uwanja wa Jean Bouina. Wenyeji walitumia vizuri nafasi hiyo wakiwa mashujaa mara baada ya mchezo kukamilika.

Ikumbukwe kwamba Paris FC walikuwa nyumbani na mashabiki walijitokeza kwa wingi kushuhudia timu yao ikioyesha soka safi. Nice walikuwa wanapambana kurekebisha makosa ya msimu uliopita na kuanza kwa nguvu. Hapa tumekuletea takwimu muhimu za mchezo.

Shinda mamilioni sasa hivi ukipaisha Kindege cha SportPesa

Una nafasi yakushinda mamilioni sasa hivi ukipaisha Kindege cha SportPesa. Rubani makini anapaa angani akiwa na uhakika. Mwanzo wa wiki muda sahihi kuvuna mamilioni. Bofya hapa chini ushinde sasa hivi.

Paris FC 3-0 Nice wafungaji wa mabao

Wafungaji ni Lassine Sinayoko dakika ya 21 kwa mkwaju wa penalti. Samir Chergui ni mfungaji wa bao la pili alifanya hivyo dakika ya 51. Kamba ya tatu ilipachikwa  na V Marchetti dakika ya 89. Ikiwa imesalia dakika moja ilijazwa kamba ya mwisho ya ushindi.

Takwimu za timu

Timu zote mbili zilianza msimu wa Ligue 1 kwa sare ya 0-0, jambo linaloashiria kuwa zote zinahitaji kuboresha safu zao za ushambuliaji. Paris FC na Nice zitakuwa zikijitahidi kupata mabao ya kwanza ya msimu katika mchezo huu.

Katika rekodi ya kukutana kwao hapo awali, mechi ya mwisho kati ya timu hizi ilimalizika kwa Paris FC kushinda 1-0 dhidi ya Nice mnamo Machi 1, 2026. Ushindi huu unaweza kuwapa Paris FC morali wa ziada wanapojiandaa kwa pambano hili la nyumbani.

Fomu za timu Paris FC

Paris FC 3-0 Nice, Agosti 30,2026
Paris FC 0-0 Troyes, Agosti 22,2026
Paris FC 2-1 PSG, Mei 17,2026
Paris FC 1-2 Renners
Paris FC 4-0 Brest, Mei 3, 2026

Fomu za timu Nice

Paris FC 3-0 Nice, Agosti 30,2026
Nice 0-0 Lorient, Agosti 22,2026
Juventus 2-0 Nice, Julai 31,2026
Nice 4-1 St. Etienne, Mei 29, 2026
St Etienne 0-0 Nice, Mei 26,2026

Takwimu Muhimu Paris FC Nice
Matokeo ya Mechi Paris FC 3-0 Nice Paris FC 3-0 Nice
Matokeo ya Mechi ya Kwanza ya Msimu  0-0  0-0

Takwimu muhimu za mchezo Paris FC vs Nice

Umiliki 45.4%-54.6%
Mashuti 15-16
Mashuti yaliyolenga lango 4-4
Nafasi kubwa zilizokoswa 2-2
Kona 2-4
Pasi za usahihi 523-617
Usahihi wa pasi 89.6%-89.3%
Kadi ya njano 0-1
Kadi nyekundu 0-0
Mashuti 15-16
Mashuti yaliyolenga lango 4-4
Mashuti ambayo hayakulenga lango 7-6
Mashuti yaliyozuiliwa 2-6
Nafasi kubwa zilizokoswa 2-2
Mtego wa kuotea 2-1

Hitimisho

Paris FC 3-0 Nice ni mwendelezo wa Ligue 1 yenye ushindani mkubwa. Wababe hawa wameonyesha uwezo ndani ya uwanja kwa soka safi. Wenyeji wametumia vizuri uwanja wa nyumbani kwa kuvuna pointi tatu muhimu.

Share this: