- UEFA Champions League 2026/27 tayari msimu mpya umeanza kutimua vumbi rasmi, ambapo timu zinazoanzia hatua ya awali zinapambana kusaka nafasi ya kufuzu.
- Timu hizo zimeingia katika hatua ya tatu ya kufuzu yaani ‘UCL Third qualifying round.’
- Msimu huu mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yanaingia katika Makala ya 72 tangu kuanzishwa kwake,
- Makala hii inakuletea dondoo muhimu za mambo yote, unayohitaji kufahamu kuhusu hatua ya tatu ya kufuzu.
Hatimaye hatua ya 3 ya kufuzu ya UEFA Champions League 2026/27 yaani ‘Third UCL qualifying round’ imeingia katika hatua za mechi za mwisho za marudiano. Hii ni kuelekea kuanza rasmi kwa msimu mpya wa mashindano hayo 2026/27. Kwa mashindano ya Ulaya hii itakuwa Makala ya 72, tangu kuanzishwa kwake. Makala hii inakuletea baadhi ya dondoo muhimu kuelekea mechi za mwisho za hatua hii.
Je, bado hujashinda pesa? Cheza aviator ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi zaidi ya Milioni 800 muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Mambo muhimu kabla ya mechi za marudiano

Mechi za marudiano mara nyingi huamuliwa na nidhamu ya ulinzi, matumizi ya nafasi chache, na uwezo wa timu kudhibiti presha. Timu iliyo mbele kwenye jumla ya mabao inaweza kuchagua kucheza kwa tahadhari, huku timu inayotafuta kurudi mchezoni ikihitaji kuanza kwa kasi.
KUFAHAMU MFUMO WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2026/27 SOMA HI: Uefa Champions League 2026/27 kufuzu ‘Third Round’: matokeo, timu, ratiba, droo, mfumo wa mashindano, Mambo Muhimu
Ratiba mechi za mwisho marudiano 3rd Round UEFA Champions League 2026/27
Tuesday 25 August

Sabah vs Hapoel Beer-Sheva
LASK vs Celtic
Bodø/Glimt vs N.E.C.
Wednesday 26 August
AEK Athens vs Levski Sofia
Viking vs GNK Dinamo
Celje vs Slovan Bratislava
Lyon vs Fenerbahçe
Hitimisho: Kwa nini raundi hii ni muhimu

Raundi hii huamua timu zitakazofuzu hatua inayofuata ya UEFA Champions League 2026/27 . Baada ya hatua hii hatua ya draw itafuata. Kwa mashabiki, thamani yake ipo kwenye mwelekeo wa msimu, usajili mpya, na namna timu zinavyojipanga dhidi ya wapinzani wa kimataifa. Endelea kufuatilia SportPesa Blog.

