Singida Black Stars vs Simba SC NBC Premier League 2026/27Doumbia Simba SC
  • Singida Black Stars vs Simba SC NBC Premier League 2026/27, Uwanja wa Airtel
  • H2H katika mechi 10 Simba SC imepata ushindi mechi 9 na sare ni moja
  • Singida Black Stars haijawahi kupata ushindi mbele ya mnyama kwenye mechi za hivi karibuni

Kituo kinachofuata ni Singida Black Stars vs Simba SC NBC Premier League 2026/27. Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Airtel, Singida. Kwenye mechi 5 zilizopita, Singida Black Stars haijapata ushindi dhidi ya mnyama.

Isome ratiba ya mechi za Simba SC: Ratiba ya Simba SC NBC Premier League 2026/27 mechi 5 zijazo | Matokeo | SportPesa Blog

Bado hujashinda? Cheza na ushinde mamilioni ya aviator ‘Kindege’ cha SportPesa

Je, hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kubashiri SportPesa bonyeza picha hii chini

SportPesa Aviator Maximum Payout – TZS Million

Taarifa muhimu Singida Black Stars vs Simba SC

Singida Black Stars vs Simba SC NBC Premier League 2026/27
Mshambuliaji wa Singida Black Stars, Jonathan Sowah.

Matokeo mchezo uliopita: Singida Black Stars 1-2 Simba SC NBC Premier League/ Highlights, goal, standings

Mchezo: Singida Black Stars vs Simba SC

Mashindano: NBC Premier League

Uwanja: Airtel, Singida

Muda: Saa 12:00 jioni

Siku: Jumamosi

H2H Singida Black Stars vs Simba SC

TareheMwenyejiMatokeoMgeniMshindi
06/09/2020Singida Black Stars1–2Simba SCSimba SC
30/12/2020Simba SC4–0Singida Black StarsSimba SC
12/11/2022Simba SC1–0Singida Black StarsSimba SC
28/10/2023Simba SC2–1Singida Black StarsSimba SC
10/04/2024Singida Black Stars0–2Simba SCSimba SC
13/04/2024Singida Black Stars1–1Simba SCSare
28/12/2024Singida Black Stars0–1Simba SCSimba SC
28/05/2025Simba SC1–0Singida Black StarsSimba SC
11/03/2026Singida Black Stars1–2Simba SCSimba SC
27/06/2026Simba SC2–0Singida Black StarsSimba SC

Takwimu za mechi 10

Katika mechi 10 mabayo yaliyofungwa jumla ni 22. Simba SC imefunga mabao 18 na Singida Black Stars mabao 4. Ushindi mkubwa ilikuwa Simba SC 4-0 Singida Black Stars.

Matokeo ya mechi zilizopita NBC Premier League

Singida Black Stars vs Simba SC NBC Premier League 2026/27
Kagera Sugar 0-2 Simba SC, NBC Premier League

Kagera Sugar 1-1 Singida Black Stars

Singida Black Stars 3-0 Fountain Gate

Kagera Sugar 0-2 Simba SC

Pamba Jiji FC 1-3 Simba SC

Sowah na Traore katika rekodi

Nyota wa Singida Black Stars, Jonathan Sowah ameingia kwenye rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga bao kwenye timu hiyo. Alifunga katika mchezo dhidi ya Fountain Gate. Sowah aliwahi kucheza Simba SC hivyo anakutana na mabosi wake wa zamani. Traore beki wa Simba SC huyu ni mfungaji wa bao la kwanza msimu wa 2026/27. Alifunga bao hilo kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar.

Prediction Singida Black Stars vs Simba SC

Kuelekea mchezo huu kwa mujibu wa rekodi Simba SC ina nafasi yakushinda lakini ushindi mwembamba. Hii inatokana na mechi 10 ambazo wamekutana ushindi ni katika mechi 9 na sare mchezo mmoja. Matokeo ya utabiri ni Singida Black Stars 1-2 Simba SC. Haya sio matokeo kamili ni maoni ya mhariri.

Singida Black Stars vs Simba SC taarifa kuhusu timu

Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Singida Black Stars, Hussen Masanza amebainisha kuwa wapo tayari kwa mchezo huo. Masanza amesema kila kitu kinakwenda vizuri kuelekea mchezo huo. Wachezaji wapo tayari kupambana kusaka ushindi.

“Tunatambua huu ni mchezo muhimu kwetu na tutakuwa nyumbani. Kila mchezaji anatambua kwamba kazi kubwa ni kusaka ushindi. Kila mchezaji yupo sawa kwa ajili ya kutimiza majukumu, mashabiki wajitokeze kwa wingi,”.

Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema wapo nyumbani. Kuelekea mchezo huo ameongeza kuwa kila mchezaji yupo tayari kwa kazi kubwa.

“Tumewasili Singida kwa ajili ya mchezo wetu dhidi ya Singida Black Stars. Wachezaji wapo tayari na wanatambua umuhimu wa mchezo wetu. Tumetoka kupata matokeo mchezo uliopita na huu tunahitaji ushindi,”.

Hitimisho

Singida Black Stars vs Simba SC NBC Premier League ni mchezo unaozikutanisha timu mbili imara. Mnyama amekuwa na rekodi yakupata matokeo chanya dhidi ya wapinzani hao. Licha ya ushindi bado ubora wa Singida Black Stars umezidi kuimarika kutokana na uwekezaji, wachezaji bora.

Share this: