- Yanga SC 0-0 TRA United, NBC Premier League, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha
- TRA United yaibana mbavu Yanga SC kwa mchezo kukamilika bila kufungana
- Mzamiru Yassin alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 85 ya mchezo
- Pedro Goncalves aongoza kikosi mechi mbili mfululizo bila kushangilia goli
TRA United yaibana mbavu Yanga SC NBC Premier League. Mchezo umekamilika bila timu kufungana. Mzamiru Yassin ameonyeshwa kadi nyekundu kwa wakusanya mapato. Hii ni baada ya kadi mbili za njano dakika ya 35 na ile ya pili dakika ya 85. Mchezo uliopita ilikuwa Azam FC 0-0 Yanga SC, Uwanja wa Mkapa.
SOMA HII: TRA United vs Yanga SC NBC Premier League Machi 18/2026 Arusha/ H2H, lineups, statics, live score
Je, bado hujashinda mamilioni? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune pesa sasa
Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

TRA United yaibana mbavu Yanga SC NBC Premier League

TRA United yaibana mbavu Yanga SC NBC Premier League kwa kugawana pointi mojamoja. Ubao wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid umesoma TRA United 0-0 Yanga SC. Matokeo hayo yanakamilisha mzunguko wa kwanza kwa vinara kuendeleza rekodi yao yakutofungwa.
Rekodi za TRA United 0-0 Yanga SC
| TRA United | Yanga SC | |
| 5 | Mashuti | 7 |
| 1 | Lenga lango | 1 |
| 35% | Umiliki | 65% |
| 4 | Mashuti yasiyolenga lango | 6 |
| 1 | Kadi nyekundu | 0 |
| 3 | Kadi ya njano | 1 |
| 0 | Kona | 2 |
| 0 | Magoli | 0 |
Msimamo wa TRA United 0-0 Yanga SC
| POS | MP | W | D | L | PTS |
| 1.Yanga SC | 15 | 11 | 4 | 0 | 36 |
| 10.TRA United | 15 | 5 | 5 | 5 | 20 |
Kikosi cha TRA United vs Yanga SC

Langoni ni Noel
Wachezaji wengine ni Chobwedo, Kombo, Chamou, Joseph, Mapaka, Mzamiru Yassin.
Jamal, Nouma, Lazarus, Chewe hawa wameanza kikosi cha kwanza.
Wachezaji wa akiba
Fikirini, Makoye, Msati, Enock, Isack, Kaizer, Omari, Ally, Tebandeke, Mugoya.
SOMA HII: Azam FC vs Yanga SC: Jeshi la Yanga SC latua Dar leo Ijumaa, h2h, Ratiba, matokeo Ligi Kuu ya NBC

Kikosi cha Yanga SC vs TRA United
langoni
Djigui Diarra.
Mabeki ni Israel Mwenda, Mohamed Hussen, Bakari Nondo na Assink
Viungo
Damaro
Maxi Nzengeli
Duke Abuya
Pacome
Shekhan.
Mshambuliaji
Prince Dube
Wachezaji wa akiba

Masalanga, Yao, Andabwile, Abubakar, Abdulnasir, Mudathir, Mwanengo, Kouma, Buba na Okello.
Hitimisho
TRA United yaibana mbavu Yanga SC kwenye mchezo wa ligi. Mbinu ya Kocha Mkuu, Ettiene Ndayiragije kujilinda imewapa pointi moja. Yanga SC chini ya Pedro Goncalves walikuwa imara katika kushambulia na umiliki wa mpira.
SOMA HII: Ali Kamwe: Kuna wachezaji wapya watatu kutambulishwa Yanga SC/ Zimbwe Jr usajili wa mkubwa


