- Dicson Job mikoba yake mikononi mwa Bakari Nondo,Uwanja wa Jamhuri, Dodoma
- Tanzania Prisons 0-0 Yanga SC NBC Premier League dakika 45 za mwanzo
- Depu ameanzia benchi, Prince Dube anaongoza jahazi la ushambuliaji
Tanzania Prisons 0-0 Yanga SC matokeo ya dakika 45 za kipindi cha kwanza Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. NBC Premier League inazidi kupamba moto. Wananchi wamekuwa imara katika umiliki na wenyeji imara kwenye ulinzi.
Bado hujashinda? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.
SOMA HII: NBC Premier League wiki ya moto/ Singida Black Stars vs Simba SC/ Tanzania Prisons vs Yanga SC

Tanzania Prisons 0-0 Yanga SC rekodi

HT: Tanzania Prisons 0-0 Yanga SC hapa tunakusogezea rekodi zao. Mashuti yaliyopigwa ni manne kwa Yanga SC. Wenyeji bado wanamvutia kasi Djigui Diarra.
Beki Dickson Job hayupo kikosi cha kwanza kwa kuwa hayupo fiti. Nafasi yake ameanza nahodha Nondo akishirikiana na Bacca.
| Tanzania Prisons | Yanga SC | |
| 0 | Mashuti | 4 |
| 0 | Lenga lango | 1 |
| 39% | Umiliki | 61% |
| 0 | Mashuti yasiyolenga lango | 3 |
| 0 | Kadi nyekundu | 0 |
| 1 | Kadi ya njano | 0 |
| 0 | Kona | 3 |
| 0 | Magoli | 0 |
Msimamo Tanzania Prisons vs Yanga SC
| POS | MP | W | D | L | PTS |
| 1. Yanga SC | 13 | 10 | 3 | 0 | 33 |
| 14. Tanzania Prisons | 16 | 3 | 5 | 8 | 14 |
Kikosi cha Tanzania Prisons vs Yanga SC
Langoni ni Mussa Mbissa
Lambart Sabiyanka
Doto Shaban
Jeremia Juma
Marco Mhilu
Michael Mutinda
Wema Sadoki
Salum Kimenya
Maurince Owino
George Mpole
Haruni Chanongo
Wachezaji wa akiba
Emmanuel Martin, Never Kaboma,Kelvin Sagati, Heritier, Masoud Abdalah, Ramadhan Mwenda, Edward Mwakyusa, Samson Mbangula, Oscar Mwajanga na Idd Lugendo.
SOMA HII: Tanzania Prisons 0-5 Yanga SC dakika 180 wapigwa nje ndani/ Kariakoo Dabi inakuja

Kikosi cha Yanga SC vs Tanzania Prisons
Langoni
Djigui Diarra
Mabeki: Israel Mwenda, Zimbwe Jr, Nondo, Bacca. Viungo ni Damaro, Abuya, Maxi, Mudathir na Okello.
Mshambuliaji
Prince Dube
Wachezaji wa akiba
Masalanga, Abubakari, Assink, Andabwile, Yao, Abdulnasir, Shekhan, Edmund, Bupa, Depu.

