Ht: Singida Black Stars 1-1 Simba SCAucho Khalid SBS
  • Khalid Aucho anatarajiwa kuwa kazini kupambana na Rushine NBC Premier League
  • Singida Black Stars vs Simba SC ni leo Machi 11,2026 Uwanja wa Airtel
  • Steve Berkar abainisha mkakati wakuvuna pointi tatu ugenini


Singida Black Stars vs Simba SC ni leo Machi 11,2026. Khalid Aucho anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi. Hii ni baada ya adhabu yake kusimamishwa na uongozi kufutwa.

SOMA HII: Singida Black Stars vs Simba SC NBC Premier League Machi 11,2026/ Live score, standings

Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu

Hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kubashiri SportPesa bonyeza picha hii chini.

aviator

Singida Black Stars vs Simba SC NBC wachezaji wakuchungwa

Singida Black Stars vs Simba SC
Chama kiungo mshambuliaji wa Simba SC.

 Singida Black Stars vs Simba SC NBC Premier League kuna wachezaji wakuchungwa. Khalid Aucho anaingia kwenye orodha kutokana na uzoefu alionao. Metacha Mnata, Joseph Guede na Elvis Rupia ni miongoni mwa wachezaji hatari S.B.S.

Kwa upande wa Simba SC, Clatous Chama, Ellie Mpanzu, Yusuph Kagoma ubora wao unajulikana. Rushine ni beki mwenye uwezo wakufunga hasa mipira ya adhabu.

Maoni ya kocha wa Singida Black Stars, (S.B.S.)

David Ouma, kocha msaidizi wa Singida Black Stars amesema wapo tayari. Aliongeza kwa kubainisha kuwa malengo ni kupata ushindi.

“Tumefanya maadalizi vizuri na tupo tayari kwa mchezo. Maleng oni kuona tunapata matokeo chanya,”.

Maoni ya Steve Berkar Kocha Mkuu wa Simba SC

“Kikubwa ni kuona tunapata ushindi kwenye mchezo wetu. Tunatambua wapinzani wetu wapo imara ila tupo tayari,”.

Kikosi kinachotarajiwa kuanza kwa Singida Black Stars

Singida Black Stars vs Simba SC NBC
Rupia Elvis mshambuliaji wa Singida Black Stars.

Metacha Mnata

Lanso

Zambo

Chukwu

Sebo

Pipino

Keyech

Lyanga

Lamin

Aucho

Elvis Rupia

Kikosi kinachotarajiwa kuanza kwa Simba SC

Kassali

Kapombe

Kibabage

Vedastus

Toure

Naby

Bashiri

Kante

Inno

Chama

Gueye

SOMA HII: NBC Premier League wiki ya moto/ Singida Black Stars vs Simba SC/ Tanzania Prisons vs Yanga SC

aviator

Msimamo wa Singida Black Stars vs Simba SC

POSPWDLPts
4.Simba SC1173124
9.S.B.S1254319

Matokeo ya mechi zilizopita Singida Black Stars

Machi 8,2026, Singida Black Stars 3-1 Songea United, (CRDB Federation Cup)

Machi 5,2026, Singida Black Stars 0-3 Yanga SC, (NBC)

Machi 3,2026, Singida Black Stars 1-0 Coastal Union, (NBC)

Februari 26,2026, Namungo FC 1-1 Singida Black Stars, (NBC)

Februari 22,2026, Mtibwa Sugar 1-3 Singida Black Stars, (NBC)

Matokeo ya mechi zilizopita Simba SC

Libase Gueye - Simba SC
Libase Gueye kiungo wa Simba SC. Source: Simba SC
KMC FC02Simba SCFebruari 11,2026, NBC
Simba SC100 Stade MalienFebruari 14,2026/CAF
Tanzania Prisons02Simba SCFebruari 22,2026/NBC
Dodoma Jiji FC00Simba SCFebruari 25,2026/NBC
Yanga SC00Simba SCMachi Mosi 2026/NBC

Hitimisho

Singida Black Stars vs Simba SC ni leo mbivu na mbichi kujulikana. Wakulima wa alizeti mchezo uliopita wa ligi walipoteza kwa kufunga 3-0 dhidi ya Yanga SC. Je leo watapoteza wakiwa nyumbani? Dakika 90 zina majibu.

Share this: