- Anicent Oura afungua pazia la kufunga Uwanja wa Airtel, Singida.
- Singida Black Stars 1-1 Simba SC, NBC Premier League dakika 45 za mwanzo
- Mossi afunga goli kali la kichwa lakuweka usawa kipindi cha kwanza
Singida Black Stars 1-1 Simba SC NBC Premier League ni matokeo ya dakika 45 za mwanzo. Anicent Oura alifunga goli la utangulizi kwa mnyama dakika ya 7. Ndumumwe Mossi aliweka mzani sawa dakika ya 38. Uwanja wa Airtel, Singida.
Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu
Hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kubashiri SportPesa bonyeza picha hii chini.

Ht: Singida Black Stars 1-1 Simba SC NBC Premier League

HT: Singida Black Stars 1-1 Simba SC NBC Premier League 2025/26. Metacha Mnata ameanza langoni kwa wenyeji. Kiungo Khalid Aucho ni miongoni mwa wachezaji waliaonza kikosi cha kwanza, leo Machi 11,2026.
Rekodi Singida Black Stars 1-1 Simba SC NBC
| Singida Black Stars | Simba SC | |
| 2 | Mashuti | 3 |
| 1 | Lenga lango | 3 |
| 50% | Umiliki | 50% |
| 1 | Mashuti yasiyolenga lango | 0 |
| 0 | Kadi nyekundu | 0 |
| 1 | Kadi za njano | 0 |
| 2 | Kona | 2 |
| 1 | Magoli | 1 |
Kikosi cha Singida Black Stars vs Simba SC

Langoni
Metacha Mnata
Morice Chukwu
Ibrahim Imoro
Abdulmalick Zakaria
Khalid Aucho
Kennedy Juma
Joseph Guede
Lamin Jarjou
Ande Koffi
Iddi Habibu
Ndumumwe Mossi
Wachezaji wa akiba
Said Abdallah, Shomari, Ayoub Lyanga, Amas, Rupia, Pipino, Linda Mtange, Chikola, Mukrim Issa na Yusuph Adam.
SOMA HII: Yanga SC vs Singida Black Stars Fainali CRDB sasa kupigwa Juni 29, Zanzibar 28/06/2025

Kikosi cha Simba SC vs Singida Black Stars
Langoni
Mahamadou Kassali
Mabeki
Shomari Kapombe
Nickson Kibabage
Ismael Toure
De Reuck
Viungo
Yusuph Kagoma
Libasse Gueye
Allasane Kante
Anicet Oura
Inno Loemba
Clatous Chama
Wachezaji wa akiba
Hussen Abel, Duchu, Mligo, Mbegu, Naby, Bashiru, Semfuko, Baraka, Morice na Ellie Mpanzu.

