- Singida Black Stars bs Simba SC, Machi 11,2026, Uwanja wa Airtel
- NBC Premier League wiki ya moto, ratiba na msimamo tumekusogezea hapa
- Tanzania Prisons vs Yanga SC ni Machi 12,2026, Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi
- Azam FC vs Yanga SC, Machi 15,2026, Uwanja wa Mkapa.
NBC Premier League wiki ya moto kwa mechi kali kutarajiwa kuchezwa. Yanga SC vs Tanzania Prisons ni Alhamisi saa 10:00 jioni. Singida Black Stars vs Azam FC ni Jumatano, Machi 11,2026. Mtoto hatumwi dukani atakosa uhondo.
SOMA HII: NBC Premier League table 2025/26
Je, bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

NBC Premier League wiki ya moto, ratiba mechi za Yanga SC

Kwenye NBC Premier League wiki ya moto ndani ya uwanja kwa wanaume kusaka pointi tatu. Mabingwa watetezi wapo na kete mbili na miongoni mwa hiyo ni Dar, Dabi. Azam FC vs Yanga SC mechi kubwa yakufungia wiki.
| Tanzania Prisons | vs | Yanga SC | NBC Premier | Machi 12 2026 |
| Azam FC | Vs | Yanga SC | NBC Premier | Machi 15 2026 |
| TRA United | Vs | Yanga SC | NBC Premier | Machi 18 2026 |
| Mtibwa Sugar | Vs | Yanga SC | NBC Premier | Machi 21 2026 |
Ratiba ya wiki hii
Machi 11,2025
Singida Black Stars vs Simba SC, saa 10:15, jioni
Dodoma Jiji FC vs Azam FC, saa 1:15, usiku
Machi 12,2025
Tanzania Prisons vs Yanga SC, saa 10:00 jioni
Machi 15,2025
Azam FC vs Yanga SC, saa 2:30 usiku
SOMA HII: Dodoma Jiji FC 0-0 Simba SC 25/02/2026 NBC Premier League/ Highlights, standings

NBC Premier Top 7

| MP | W | D | L | PTS | |
| Yanga SC | 12 | 10 | 2 | 0 | 32 |
| JKT Tanzania | 17 | 7 | 7 | 3 | 28 |
| 3. Azam FC | 12 | 6 | 6 | 0 | 24 |
| 4.Simba SC | 11 | 7 | 3 | 1 | 24 |
| 5.Pamba Jiji FC | 15 | 6 | 6 | 3 | 24 |
| 6.Namungo FC | 16 | 5 | 6 | 5 | 21 |
| 7.Dodoma Jiji FC | 16 | 5 | 6 | 5 | 21 |
Kamata ratiba ya Simba SC
Machi 11 2026, Singida Black Stars vs Simba SC, NBC Premier League
Machi 14,2026, TRA United vs Simba SC, NBC
Machi 19,2026, Pamba Jiji FC vs Simba SC, NBC
Machi 22,2026, Simba SC vs TRA United, NBC
Ratiba ya Dodoma Jiji FC

Machi 11,2026, Dodoma Jiji FC vs Azam FC
Aprili 3,2026 ni Dodoma Jiji FC vs Fountain Gate FC
Aprili 14,2026 ni Coastal Union vs Dodoma Jiji FC, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
Aprili 16,2026 ni Mtibwa Sugar vs Dodoma Jiji FC, Jamhuri, Dodoma.
SOMA HII: Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC) 2025/26, kimataifa ni Al Ahly vs Yanga SC

Hitimisho
NBC Premier League ni moto kutokana na ratiba kali inayoendelea. Kila timu inapambania pointi tatu muhimu. Dar Dabi, Azam FC vs Yanga SC inasubiriwa kwa shauku kufunga wiki na kufungua wiki mpya.

