Pacome Zouzoua chanzo Yanga SC 0-0 Simba SC?Pacome ZNZ (-)
  • Singida Black Stars vs Yanga SC kituo kinachofuata kwenye ratiba ya NBC Premier League
  • Je Pacome Zouzoua chanzo Yanga SC 0-0 Simba SC?
  • Simba SC walikuwa na nafasi kushinda Kariakoo Dabi, New Amaan Complex, Machi Mosi 2026.
  • Ratiba ya mechi zijazo Yanga SC NBC tumekosogezea

Je Pacome Zouzoua chanzo Yanga SC 0-0 Simba SC? Swali ambalo linaulizwa na wadau. Machi Mosi 2026 Kariakoo Dabi hakukuwa na mbabe. Kiungo Pacome chaguo la kwanza Jangwani alikosekana kwenye mchezo kutokana na kutokuwa fiti.

SOMA HII: Yanga SC 0-0 Simba SC: Semaji Ahmed, Ali Kamwe watoa matamko mazito kumhusu Refa wa Kariakoo dabi, matokeo, msimamo

Bado hujashinda mamilioni ya SportPesa?

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Bashiri na SportPesa uvune mkwanja sasa hivi kwa kubonyeza picha hapo chini.

aviator

Je Pacome Zouzoua chanzo Yanga SC 0-0 Simba SC? Kamwe atoa ufafanuzi

Pacome Zouzoua chanzo Yanga SC 0-0 Simba SC?
Ali Kamwe Meneja Habari wa Yanga SC. Source: Yanga SC.

Inawezekana kuwa Pacome Zouzoua chanzo Yanga SC 0-0 Simba SC? Ali Kamwe, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC alitoa ufafanuzi. Hiyo ni baada ya kuulizwa kuwa kama kulikuwa na pengo la mchezaji huyo Kariakoo Dabi.

“Sio Pacome, usizungumze Pacome,usizungumze Pacome, zungumza mpira. Wamecheza vizuri. Hapana cha kwanza tutoe pongeziwamecheza vizuri.

“Walikuwa na nafasi ya kushinda hii mechi tulikuwa na mchezaji mkubwa golini Diarra ametusaidia tumetoka na pointi moja basi.Diarra kazi yake ni kudaka hajaja kukata nyanya.

“Mapungufu ambayo yametokea tunakwenda kufanyia kazi kwenye uwanja wa mazoezi. Kikubwa ni kuona kwamba tunakuwa imara. Bado ligi inaendelea na huu ni mchezo wa 11.

“Mwisho wa msimu anayekumbukwa ni yuleambaye ametwaa ubingwa na sio kushinda dabi. Kumbuka kwamba tuna tofauti ya pointi 5 hivyo kuna mechi nyingine tunakwenda kuendelea na mapambano,” alisema Kamwe.

Yanga SC bado haijapoteza mechi

Fulltime: Yanga SC 0-0 Simba SC NBC
Yanga SC vs Simba SC NBC Premier League.

2025/26 Yanga SC haijapoteza mechi ndani ya NBC Premier League. Singida Black Stars vs Yanga SC ni mchezo unaofuata. Machi 5 2026 mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Airtel, Singida.

SOMA HII: Fulltime: Yanga SC 0-0 Simba SC NBC Premier League/Highlights, stats, standings

aviator

Rekodi za mechi ya Yanga SC vs Simba SC

Yanga SC Simba SC
7Mashuti12
2Lenga lango6
50%Umiliki50%
5Nje ya lango6
0Kadi nyekundu0
1Kadi za njano0
3Kona2
0Otea1

Msimamo Yanga SC vs Simba SC

 MPWDLPTS
Yanga SC1192029
3. Simba SC1173124

Ratiba ya mechi za Yanga SC

Wananchi Zanzibar
Zimbwe Jr beki wa Yanga SC. Source: Yanga SC.

Machi 5 2026 Singida Black Stars vs Yanga SC.

Machi 12 2026 Tanzania Prisons vs Yanga SC

Machi 15 2026 Azam FC vs Yanga SC

Machi 18 2026 TRA United vs Yanga SC

Machi 21 2026 Mtibwa Sugar vs Yanga SC

SOMA HII: Yanga SC 2-0 Simba SC mchezo wa Kariakoo Dabi/ Bingwa 2024/25/ Pacome balaa

aviator

Hitimisho

Je Pacome Zouzoua chanzo Yanga SC 0-0 Simba SC? Kituo kinachofuata ni mchezo dhidi ya Singida Black Stars ugenini. Pacome na Clement Mzize wanatarajiwa kukosekana mchezo ujao. Ni nani kuibuka na ushindi mchezo ujao? Endelea kufuatilia blog ya SportPesa kwa taarifa zaidi.




Share this: