Yanga SC 0-0 Simba SC NBC Premier LeagueDiarra langoni
  • Djigui Diarra amekuwa shujaa kwa kuokoa hatari mbili katika dakika 45 za mwanzo
  • Yanga SC 0-0 Simba SC NBC Premier League, New Amaan Complex ikiwa ni mapumziko
  • Dickson Job ameshindwa kuendelea na mchezo nafasi yake imechukuliwa na Bakari Nondo
  • Loemba amekosa nafasi ya wazi katika dakika 15 za mwanzo, Pacome out Kariakoo Dabi

Yanga SC 0-0 Simba SC NBC Premier League matokeo ya dakika 45 za mwanzo. Mlinda mlango wa Yanga SC, Djigui Diarra ameokoa hatari mbili za hatari langoni. Mnyama anakwenda mapumziko akiwa ameshindwa kuzibadili nafasi alizopata kuwa magoli.

SOMA HII: Yanga SC vs Simba SC taarifa mpya kutoka Zanzibar, hali ya vikosi, Goncalves na Steve Barker

image

Yanga SC 0-0 Simba SC NBC Premier League, Pacome out

Yanga SC 0-0 Simba SC NBC Premier League
Pacome kiungo mshambuliaji wa Yanga SC. Source: Yanga SC.

Yanga SC 0-0 Simba SC NBC Premier League ni dakika 45 za moto kwa timu zote mbili Uwanja wa New Amaan Complex. Kiungo wa Yanga SC, Pacome Zouzoua out kwenye mpango kazi kutokana na kutokuwa fiti. Kwenye kikosi cha kwanza wala akiba hayupo.

Beki Dickson Job wa Yanga SC amefanyiwa mabadiliko ya lazima baada ya kuchezewa faulo na Loemba dakika ya 37. Nafasi yake imechukuliwa na Bakari Nondo.

Kikosi cha Yanga SC kilichoanza vs Simba SC

Langoni

Djigui Diarra

Mabeki

 Israel Mwenda

 Mohamed Hussen

Dickson Job

Ibrahim Bacca

 Viungo

 Damaro

 Maxi Nzengeli

Duke Abuya

 Mudathir Yahya

 Washambuliaji

Depu Mtambo wa mabao
Depu mshambuliaji wa Yanga SC. Source: Yanga SC.

 Depu

Prince Dube

Wachezaji wa akiba ni Mshery, Yao, Nondo, Abubakar, Aziz, Mwanengo, Abdulnasir, Shekhan, Okello na Buba.

SOMA HII: Yanga SC vs Simba SC NBC Premier League: Nassoro Mwinchui mwamuzi wa kati, utabiri

image

Kikosi cha Simba SC vs Yanga SC

Langoni

Kassali

Mabeki

 Shomari Kapombe

 Nickson Kibabage

 Toure

 De Reuck

 Viungo

  Yusuph Kagoma

 Gueye

 Kante

 Clatous Chama

Inno

 Loemba

 Mshambuliaji

 Oura

Wachezaji wa akiba ni Hussen Abel, Duchu, Mligo, Naby, Vedastus, Morice, Semfuko, Mwalimu, Neo na Ellie Mpanzu.

Hitimisho

Yanga SC 0-0 Simba SC NBC Premier League ni dakika 45 za mwanzo kwenye mchezo. Matokeo kamili yatafahamika baada ya dakika 90. Nani atachukua pointi tatu jumla ama watagawana alama?

Share this: