- Tanzania Premier League mchezo namba 54 wababe wamegawana alama mojamoja
- Fulltime: Yanga SC 0-0 Simba SC NBC Premier League 2025/26
- Simba SC walitawala kwenye eneo la kushambulia na mwisho wameambulia sare ugenini
Fulltime: Yanga SC 0-0 Simba SC NBC Premier League leo Machi Mosi 2026. Mlinda mlango wa Jangwani, Djigui Diarra alifanya kazi kubwa kutimiza majukumu. Wababe hawa wametoshana nguvu visiwani Zanzibar.
SOMA HII: Yanga SC 0-0 Simba SC NBC Premier League/ Pacome out, lineups
Je, unataka kushinda mamilioni ya SportPesa?
Ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Bashiri na SportPesa uvune mkwanja sasa hivi kwa kubonyeza picha hapo chini.

Fulltime: Yanga SC 0-0 Simba SC NBC Premier League

Fulltime ni Yanga SC 0-0 Simba SC NBC Premier League. Dakika 45 za mwanzo mnyama alianza kwa kasi. Kipindi cha pili ngoma ilikuwa nzito kwa timu zote zikishambuliana kwa kushtukiza.
Rekodi za mechi 11 NBC Premier League
Msimu wa 2025/26 baada ya mechi 11, Yanga SC haijapoteza. Simba SC baada ya mechi 11 imepoteza mchezo mmoja dhidi ya Azam FC. Hii inakuwa sare ya pili kwa Yanga SC ikiwa ni ya 3 kwa Simba SC.
Rekodi za Yanga SC 0-0 Simba SC NBC Premier League
| Yanga SC | Simba SC | |
| 7 | Mashuti | 12 |
| 2 | Lenga lango | 6 |
| 50% | Umiliki | 50% |
| 5 | Nje ya lango | 6 |
| 0 | Kadi nyekundu | 0 |
| 1 | Kadi za njano | 0 |
| 3 | Kona | 2 |
| 0 | Otea | 1 |
Msimamo Yanga SC vs Simba SC

| MP | W | D | L | PTS | |
| Yanga SC | 11 | 9 | 2 | 0 | 29 |
| 3. Simba SC | 11 | 7 | 3 | 1 | 24 |
Kocha Mkuu wa Yanga SC ni Pedro Goncalves, raia wa Ureno. Huyu alitumia mfumo wa 4:2:3:1 Kocha Mkuu wa Simba SC ni Steve Barker, raia wa Afrika Kusini. Huyu alitumia mfumo wa 4:1:4:1.
SOMA HII: Yanga SC vs Simba SC taarifa muhimu kuhusu waamuzi wa mchezo Juni 15 2025 viingilio kutolewa

Hitimisho
Fulltime Yanga SC 0-0 Simba SC NBC Premier League. Mchezo wa leo Mwamuzi wa kati alikuwa ni Nassoro Mwinchui kutoka Tanga. Wababe hawa wawili wamegawana alama mojamoja Zanzibar.

