Dodoma Jiji FC vs Simba SCOura CAF
  • Anicet Oura amefunga goli pekee la ushindi wa kwanza kwa mnyama Uwanja wa Mkapa 2025/26
  • Simba SC 1-0 Stade Malien CAF Champions League Februari 14 2026
  • ES Tunis 2-0 Petro de Luanda, wawili wanatinga robo fainali

Simba SC 1-0 Stade Malien CAF Champions League ni matokeo rasmi mchezo wa makundi. Huu ni ushindi wa kwanza kwa mnyama 2025/26. Goli la ushindi limefungwa dakika ya 2 na Anicet Oura. Licha ya ushindi safari yao imefika mwisho kimataifa.

SOMA HII: Kamata matokeo ya Simba SC CAF Champions League/ Fixture, standings

image

Simba SC 1-0 Stade Malien CAF Champions League safari ilikuaje?

Simba SC 1-0 Stade Malien CAF Champions League
David Kameta kwenye mchezo dhidi ya Stade Malien. Source: Simba SC.

Ni Simba SC 1-0 Stade Malien CAF Champions League rekodi mbovu ikivunjwa. Safari ya mnyama kwenye mechi 2 Uwanja wa Mkapa hakukuwa na ushindi. Ilipoteza mchezo dhidi ya Petro de Luanda na kuambulia sare dhidi ya ES de Tunis.

ES Tunis 2-0 Petro de Luanda unafunga mjadala wa timu mbili kufuzu robo fainali. Kutoka kundi D ni Stade Malien na ES Tunis wanasonga mbele. Simba SC na Petro de Luanda mpaka wakati mwingine.

Matokeo ya Simba SC Caf Champions League

Mpanzu Ellie CAF
Mpanzu Ellie CAF Champions League: Source: Simba SC
23/11/2025Simba SC01Petro de Luanda
30/11/2025  Stade de Malien21Simba SC
24/01/2026  Es Tunis10Simba SC
01/02/2026  Simba SC22Esperance de Tunis
7/2/2026Petro de Luanda11Simba SC
14/2/2026Simba SC11Stade de Malien

SOMA HII: Simba SC ina mgogoro mzito kwa sasa? Ukweli huu hapa/ Mo na Mangungu sakata lipo hivi

image

Msimamo wa kundi D

 MPWDLPTS
1. Stade Malien632111
2. Esperance de Tunis62319
3. Petro de Luanda61326
4.Simba SC61235

Hitimisho

Simba SC 1-0 Stade Malien goli la mapema limelindwa kwa nguvu mpaka mwisho wa mchezo. Ikumbukwe kwamba mchezo dhidi ya ES Tunis mnyama aliongoza kwa magoli mawili yote yalirudishwa kipindi cha pili. Safari ya Simba SC imeishia hatua ya makundi 2025/26.

Share this: