- Simba SC vs Stade Malien, Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku mchezo wa kundi D
- Yanga SC vs JS Kabylie saa 10:00 jioni, Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar
- Al Ahly vs AS FAR Rabat saa 1:00 usiku, mechi ya maamuzi kwa kundi B ambalo ni moto
CAF Champions League ratiba ya funga kazi hatua ya makundi 2025/26 ipo wazi. Ni Jumamosi, Februari 14,2026 Mamelodi Sundowns vs MC Alger kutoka kundi C zitafungua pazia kusaka mshindi. Al Hilal anaongoza kundi akiwa na pointi 8 anafuatiwa na MC Alger akiwa na pointi 7. Ni mechi za moto kukamilisha mechi 6 kwa kila timu hatua ya makundi.
SOMA HII: Kamata matokeo ya Simba SC CAF Champions League/ Fixture, standings
Unasubiri nini? Vuna mamilioni sasa hivi ukicheza Aviator
Kuna jambo umekwama kwa sasa kuhusu mkwanja? Usiogope, rubani ni jasiri na kazi yake ni kupaisha kindege cha SportPesa. Cheza sasa hivi Aviator uvune mamilioni bofya hapa chini, muda ni wako na nafasi ya ushindi inakusubiri.

CAF Champions League ratiba ipo namna hii:-

Hapa tunakuletea CAF Champions League ratiba kwa mechi ambazo zitachezwa wikiendi. Ikumbukwe kwamba baada ya mechi hizi kuchezwa timu mbili kila kundi zitatinga hatua ya robo fainali. Simba SC ya Tanzania imeshamaliza mwendo itacheza mchezo kukamilisha ratiba. Yanga SC wanahitaji ushindi huku wakisubiri matokeo ya mchezo wa Al Ahly vs AS Far Rabat.
Jumamosi, Februari 14,2026
Mamelodi Sundowns vs MC Alger, saa 10:00 jioni
Al Hilal vs Saint Eloi Lupopo, saa 10:00 jioni
Simba SC vs Stade Malien, 1:00 usiku
Es Tunis vs Petro de Luanda, saa 1:00 usiku
Pyramids vs Power Dynamo, saa 4:00 usiku
RS Berkane vs Rivers United saa 4:00 usiku
SOMA HII: Matokeo ya CAF Champions League 2025/26/ Simba SC yafungwa mechi mbili mfululizo

Msimamo wa kundi D

| MP | W | D | L | PTS | |
| 1. Stade Malien | 5 | 3 | 2 | 0 | 11 |
| 2. Esperance de Tunis | 5 | 1 | 3 | 1 | 6 |
| 3. Petro de Luanda | 5 | 1 | 3 | 1 | 6 |
| 4.Simba SC | 5 | 0 | 2 | 3 | 2 |
Jumapili Februari 15,2026
Yanga SC vs JS Kabylie saa 10:00 jioni
Al Ahly vs AS FAR Rabat saa 1:00 usiku
Msimamo wa kundi B
| MP | W | D | L | PTS | |
| 1. Al Ahly | 5 | 2 | 3 | 0 | 9 |
| 2. AS Far | 5 | 2 | 2 | 1 | 8 |
| 3. Yanga SC | 5 | 1 | 2 | 2 | 5 |
| 4.Kabylie | 5 | 0 | 3 | 2 | 3 |
Matokeo ya mechi 5/6

MC Alger 2-1 Al Hilal, Februari 6,2026
Power Dynamo 2-0 RS Berkane, Februari 7,2026
Petro de Luanda 1-1 Simba SC, Februari 7,2026
JS Kabylie 0-0 Al Ahly, Februari 7,2026
AS FAR Rabat 1-0 Yanga SC, Februari 7, 2026
Saint Lupopo 1-1 M. Sundowns, Februari 8,2026
Stade Malien 1-0 ES Tunis, Februari 8,2026
River United 1-4 Pyramids, Februari 8,2026.
Hitimisho
CAF Champions League ratiba ya mechi za mwisho ndani ya 2025/26 hatua ya makundi. Kwa timu ambazo zitatoshana alama kanuni ya kutazama idadi ya magoli, h2h itatumika ili kumpata mshindi. Katika kila kundi ni timu mbili zitakuwa na tiketi kusonga hatua ya robo fainali.

