- FT: Yanga SC 1-1 Al Ahly CAF Champions’ League group stage January 31, 2026
- Ibrahim Bacca afunga goli kali Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar
- Hatua ya robo fainali yanukia kwa watoto wa Jangwani wamiliki wa kiungo fundi Pacome
- Matokeo ya Yanga SC vs Al Ahly na takwimu zipo kwenye makala haya
Yanga SC 1-1 Al Ahly CAF Champions League ni matokeo rasmi mchezo wa leo. Ibrahim Bacca alifunga goli lakuongoza dakika ya 45. Kipindi cha pili Al Ahly walifunga goli lakuweka mzani sawa kupitia kwa Aliou Diengo dakika ya 60.
SOMA HII: Al Ahly 2-0 Yanga SC CAF Champions League/ Stats,highlights
Je, bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Yanga SC 1-1 Al Ahly CAF Champions League, Bacca mchezaji bora

Wakati ubao wa Uwanja wa New Amaan Complex ukisoma Yanga SC 1-1 Al Ahly CAF Champions League Ibrahim Bacca ni mchezaji bora. Beki huyo alifanya kazi kubwa akifunga goli la uongozi dakika chache kabla ya mapumziko. Kazi kubwa imefanywa na Yanga SC wakishambulia kama nyuki mipango ikisukwa na kiungo mshambuliaji Pacome.
Msimamo wa kundi B
| MP | W | D | L | PTS | |
| 1. Al Ahly | 4 | 2 | 2 | 0 | 8 |
| 2. Yanga SC | 4 | 1 | 2 | 1 | 5 |
| 3. AS Far | 3 | 0 | 2 | 1 | 2 |
| 4.Kabylie | 3 | 0 | 2 | 1 | 2 |
Takwimu za Yanga SC vs Al Ahly
| Yanga SC | Al Ahly | |
| 11 | Mashuti | 4 |
| 1 | Kipa okoa | 1 |
| 53% | Umiliki | 47% |
| 10 | Faulo | 15 |
| 0 | Kadi nyekundu | 0 |
| 2 | Kadi za njano | 1 |
| 5 | Kona | 4 |
| 1 | Magoli | 1 |
SOMA HII: Yanga SC haijapoteza mechi 2025/26 NBC Premier League / Kariakoo Dabi inanukia, matokeo, rekodi

Kikosi cha Yanga SC vs Al Ahly
Kikosi cha Yanga SC vs Al Ahly
Mlinda mlango
Djigui Diarra
Mabeki
Dickson Job
Boka
Nondo
Ibrahim Bacca
Viungo
Damaro
Duke Abuya
Maxi Nzengeli
Allan Okelo
Pacome
Mshambuliaji
Depu
Wachezaji wa akiba
Aboutwalib Mshery
Israel Mwenda
Zimbwe
Assinki
Mudathir
Shekhain
Emma
Lassine
Dube
Kikosi cha Al Ahly vs Yanga SC

Mlinda mlango
M. Shobeir
Mabeki
M.Hany
Y. Ibrahim
Y. Marei
A.Koka
Viungo
M. Attia
A. Dieng
Zizo
T. Mohamed
M.Trezengeut
Mshambuliaji
M.Osman
Hitimisho
Yanga SC 1-1 Al Ahly CAF Champions League ni moja ya mchezo mkali uliozikutanisha timu bora. Watoto wa Jangwani wanazidi kukaribia malengo kutinga hatua ya robo fainali. Katika dakika 180 wamevuna pointi moja dhidi ya vigogo Al Ahly hatua ya makundi.

