- CAF Champions League 2025/26 group stage
- Esperance de Tunis vs Simba SC CAF Champions League Januari 24,2026
- Clatous Chama kwenye mtihani wa kwanza akiwa na uzi wa mnyama baada ya kurejea chini ya Steve Barker.
Esperance de Tunis vs Simba SC CAF Champions League ni mchezo unaofuata hatua ya makundi kwa kundi D. Wenyeji mechi mbili walicheza hatua ya makundi hawajapoteza wanakutana na mnyama ambaye kapoteza mechi zote mbili. Januari 24,2026 timu hizi mbili zitakuwa uwanjani kutafuta pointi tatu muhimu katika kusaka tiketi kutinga hatua ya robo fainali.
SOMA HII: Usajili wa Chama Simba SC washtua! Mayele, Kagere, Okwi wafunguka Mazito
Je, bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Ni zamu yako sasa, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Esperance de Tunis vs Simba SC CAF Champions League utabiri

Esperance de Tunis vs Simba SC CAF Champions League wababe hawa wanakutana kutoka kundi D. Simba SC inapewa nafasi ndogo kupata ushindi kwenye mchezo huo. Hii inatokana na matokeo ya mechi mbili za hatua ya makundi kimataifa.
Esperance de Tunis nafasi ya tatu ikiwa na pointi 2 mechi zote mbili kaambulia sare huku Simba SC ikiwa nafasi ya 4 zote zikiwa zimecheza mechi mbili.
Wenyeji Esperance Tunis wanapewa nafasi kubwa kupata ushindi mbele ya Simba SC. Licha ya Simba SC kupewa nafasi ndogo kushinda bado dakika 90 zimebeba matokeo yote. Hii inatokana na kila timu kujipanga kupata matokeo mazuri.
Msimamo wa kundi D
| MP | W | D | L | PTS | |
| 1. Petro de Luanda | 2 | 1 | 1 | 0 | 4 |
| 2. Stade Malien | 2 | 1 | 1 | 0 | 4 |
| 3. Esperance de Tunis | 2 | 0 | 2 | 0 | 2 |
| 4.Simba SC | 2 | 0 | 0 | 2 | 0 |
Wachezaji wakuchungwa Esperance de Tunis
Chiheb Jbeli huyu ni mshambuliaji
Onuche Ogbelu huyu ni kiungo
Amine Ben Hmida huyu ni beki
Yassine Meriah huyu ni beki
Houssem Teka huyu ni kiungo
Wachezaji wa kuchungwa Simba SC

Neo Maema huyu ni kiungo
Anthony Richard Mligo huyu ni beki
Chamou Karaboue huyu ni beki
Rushine De Reuck huyu ni beki
Ellie Mpanzu huyu ni winga.
Mechi zilizopita Simba SC
Simba SC 1-1 Mtibwa Sugar
Simba SC 0-2 Azam FC
Simba SC 3-0 Mbeya City
Stade Malien 2-1 Simba SC
Simba SC 0-1 Petro Atletico
Mechi zilizopita Esperance Tunis
Monastir 2-1 Esperance Tunis
Esperance Tunis 2-1 AS Gabes
Esperance Tunis 4-0 Ben Guerdane
Petro Atletico 1-1 Esperance Tunis
Esperance Tunis 0-0 Stade Malien.
SOMA HII: Simba SC 0-1 Petro de Luanda CAF Champions League 2025/26/ Highlights, stats, match report

Kikosi cha Simba SC kilichopo Tunisia

Walinda mlango
Hussen Abel
Alexander Erasto
Djibrilla Kassali
Mabeki
Shomari Kapombe
David Kameta
Anthony Mligo
Nickson Kibabage
Wilson Nangu
Rushine De Reuck
Ismail Toure
Vedastus Masinde
Viungo
Yusuph Kagoma
Naby Camara
Kibu Denis
Elie Mpanzu
Morice Abraham
Neo Maema
Clatous Chama
Libasse Gueye
Hussein Semfuko
Washambuliaji
Seleman Mwalimu
Jonathan Sowah
Hitimisho
Esperance de Tunis vs Simba SC CAF Champions League mchezo wa tatu hatua ya makundi. Mechi mbili zilizopita ni Dimitar Pantev alikuwa anakiongoza kikosi cha Simba SC. Steve Barker kocha mpya mpango kazi wake unatarajiwa kuanza ugenini.

