usajili Yanga SC umeanza Emmanuel Samuel asaini miwiliEmmanuel
  • John Okello raia wa Uganda tetesi zinaeleza amefikia makubaliano mazuri kuwa njano na kijani.
  • Usajili Yanga SC umeanza Emmanuel Samuel asaini miwili kuwa mitaa ya Jangwani.
  • Camara wa Singida Black Stars na Tchakei wamefikia hatua nzuri kusaini.

Usajili Yanga SC umeanza Emmanuel Samuel asaini miwili kuwa ni njano na kijani. Mchezaji huyu aliyekuwa anatumikia Klabu ya TRA anakuwa wakwanza kutambulishwa. Huyu ni kiungo mshambuliaji mwenye uwezo wa kupanda na kushuka. Miaka miwili amesaini kuwa Jangwani.

SOMA HII: Usajili wa Yanga SC orodha ya wapya 11 msimu wa 2025/26 | Rekodi, magoli na timu walizotoka

Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

image

Usajili Yanga SC umeanza Emmanuel Samuel asaini miwili Jangwani

usajili Yanga SC umeanza Emmanuel Samuel asaini miwili
Emma

Tayari usajili Yanga SC umeanza Emmanuel Samuel asaini miwili miaka kuwa ni njano na kijani rasmi. Ni mkataba wa miaka miwili nyota huyo amesaini kuwatumikia wananchi.

Huu ni mwanzo wa usajili kwa Yanga SC ambao wanatajwa kuhitaji wachezaji wapya sita. Katika maeneo ambayo wanafanyia maboresho ni ushambuliaji na kiungo. Upade wa beki yupo beki ambaye ataachwa kwenye  kikosi kupsha nafasi ya Yao ambaye alikuwa nje kutokana na kutokuwa fiti.

Ilikuwa inaelezwa kuwa JKT Tanzania walikuwa wanahitaji saini ya Nyota huyo. Yanga SC walioapambiwa bei la mchezaji huyo wakapindu meza kibabe. Rasmi Desemba 29,2025 kiungo huyo alitambulishwa kuwa ni njano na kijani.

SOMA HII: Yanga SC imetambulisha wapya 10 dirisha la usajili Ecua afungua Agosti / Walioongeza mikataba/ Usajili

image

Mohamed Damaro Camara

Tetesi zinaeleza kuwa Yanga SC bado wapo sokoni kutafuta wachezaji wapya. Jina jingine ambalo linafanyiwa kazi kwa ukaribu ni Mohamed Damaro Camara. Ikiwa watafikia makubaliano mazuri atatambulishwa Jangwani.

Nyota huyo ambaye yupo ndani ya kikosi cha Singida Black Stars kuna asilimia kubwa akawa kwenye changamoto mpya.Uongozi wa Yanga SC na Singida Black Stars wanatajwa kufikia hatua nzuri. Hata mchezaji mwenyewe yupo tayari kuwa kijani na njano.

Allan Okello

Okello
Okello nyota wa Vipers anayetajwa Yanga SC.

Winga Allan Okello rai awa Uganda anatajwa kufikia hatua nzuri kuwa njano na kijani. Okello anaicheza Vipers kwa majukumu yake kwa sasa. Mshahara mnono ametengewa ikiwa atasaini dili jipya ndani ya Yanga SC.

Tetesi zinaeleza kuwa ni miaka miwili ameandaliwa kwenye mkataba wake. Ni miezi sita amebakisha kwenye mkataba wake na Vipers. Yanga SC inatarajiwa kufanya mazungumzo na uongozi wat imu ya Vipers kupata saini yake.

Marouf Tchakei

Nyota Tchakei ambaye yupo ndani ya Singida Black Stars huenda akasajiliwa na Yanga SC. Nyota huyo inaelezwa yupo tayari kuwa njano na kijani. Hatua ambayo wamefikia kwa sasa tetesi zinaeleza kuwa kuna uwezekano akatambulishwa hivi karibuni.

Hawa hapa kuondoka

Sure Boy

Kiungo mkabaji Sure Boy anatajwa kuwa miongoni mwa wachezaji watakaoondoka Yanga SC. TRA United wanatajwa kuwa kwenye hesabu kuinasa saini yake. Ndani ya kikosi cha Yanga SC kiungo huyo hana uhakika wan amba kikosi cha kwanza.

SOMA HII: Yanga SC yashusha mashine hii nyingine usiku: Tetesi, usajili Ligi Kuu ya NBC 2025/26

image

Conte

Balla Conte
Balla Conte nyota wa Yanga SC 2025/26. Source: Yanga SC.

Nyota aliyekuwa anatajwa kuwa katika rada za Simba SC Mussa Balla Conte anatajwa kuwa kwenye mpango wa kutolewa kwa mkopo Singida Black Stars. Ndani ya Jangwani Conte hana namba kikosi cha kwanza. Sababu hiyo inatajwa kuwa kwenye mpango wa kwenda kupata changamoto mpya.

Aziz

 Aziz Andambwile mara baada ya Romain Folz kuondoka utawala wake umepotea kikosi cha kwanza. Huyu anatajwa kuwa katika rada za Mbeya City. Ikiwa atakwenda Mbeya City atakuwa na uhakika kuanza kikosi cha kwanza.

Hitimisho

Usajili Yanga SC umeanza Emmanuel Samuel asaini miwili kuwa njano na kijani. Usiku wa Desemba 29,2025 rasmi nyota huyo alitambulishwa. Ni mwanzo ikiwa ni maandalizi ya mechi za kitaifa na kimataifa msimu wa 2025/26. Endelea kufuatilia SportPesa blog tutakujuza usajili wote na watakaoondoka kwa mkopo.

Share this: