AFCON 2025 Morocco 1-1 MaliSinayoko
  • African Cup of Nations ni hatua ya makundi 2025 kundi A likicheza mechi 2
  • AFCON 2025 Morocco 1-1 Mali, magoli yote yamefungwa kwa adhabu ya penati.
  • Brahim Diaza na Laseine Sinayoko hawa walifunga ndani ya dakika 90.

AFCON 2025 Morocco 1-1 Mali matokeo rasmi mchezo wa pili hatua ya makundi. Magoli yote katika mchezo huo yalipatikana kwa penalti. Brahim Diaz alifungua ukurasa dakika ya 45. Kipindi cha pili Mali ilipata goli la usawa kupitia kwa Laseine Sinayoko kwa mkwaju wa penalti dakika ya 64, Uwanja wa Prince Moulay Abdallah.

SOMA HII: AFCON 2025 matokeo na ratiba hii hapa/ Msimamo, live scores

Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

image

AFCON 2025 Morocco 1-1 Mali,Djigui Diarra kikosi cha kwanza

AFCON 2025 Morocco 1-1 Mali
Diarra kipa namba moja wa timu ya taifa ya Mali.

Mchezo wa pili AFCON 2025 Morocco 1-1 Mali kipa Djigui Diarra alianza kikosi cha kwanza.Kipa huyo ni namba moja kwenye kikosi cha Yanga SC kinachoshiriki NBC Premeir Leagua namba nne kwa ubora Afrika. Licha yakufungwa goli alikuwa kwenye ubora wake.

Mwamuzi wa kati kwenye mchezo huo alikuwa ni Abdel Mefire. Katika mchezo huo wenye ushindani mkali dakika 90 zilikamilika kwa kila timu kuvuna pointi mojamoja. Timu zote zimebakiwa na mchezo mmoja kukamilisha mechi tatu za hatua ya makundi.

Rekodi za mchezo Morocco 1-1 Mali

Morocco Mali
15Mashuti2
5Lenga lango1
59%Umiliki41%
12Faulo22
0Kadi nyekundu0
1Kadi za njano8
6Kona0
1Magoli1

Orodha ya walioonyeshwa kadi za njano

Sinayoko Mali
Sinayoko nyota wa timu ya taifa ya Mali. Source: CAF

SOMA HII: Uganda vs Tanzania AFCON 2025: Live score, lineups, h2h, prediction, Habari za timu

image

Ousmane Camara dk 22 kwa Mali.
Aliou Dieng wa Mali dk 45+4
Mahamadou Doumbia wa Mali dk 50
Woyo Coulibaly wa Mali dk 51
Lassine Sinayoko wa Mali dk 63
Djigui Diarra wa Mali dk 82
Kamory Doumbia wa Mali dk 90+2
Dorgeles Nene wa Mali dk 90+7
Nayef Aguerd wa Morocco dk 52

Kikosi cha Morrocco vs Mali

Diazz
Diazz Brahim nyota wa timu ya taifa ya Morocco. Source: CAF

Morocco chini ya Kocha Mkuu Walid Regragui
Langoni
Bono

Mabeki
A. Salah-Eddine
N. Aguerd
J.E. Yamiq
N.Mazraoui

Viungo
S. Amrabat
Brahim Diaz
N.El. Aynaoui
A. Ounahi
I. Saibari

Mshambuliaji
A. Kaabi

Kikosi cha Mali va Moroc

Mali chini ya Kocha Mkuu, Tom Saintfiet
Langoni
Djigui Diarra
Mabeki
N. Gassama
O.Camara
A. Diaby
W. Coulibaly

Viungo
M.Sangare
L.Coulibaly
A. Dieng
M. Doumbia

Washambuliaji
Y. Bissouma
L. Sinayoko

SOMA HII: AFCON 2025 Misri 1-0 Afrika Kusini hatua ya makundi/ Highlights, standings

image

Msimamo kundi A

 MPWDLPTS
1.Morocco21104
2. Mali20202
3. Zambia20202
4.Comoros20111

Matokeo ya kundi A

Desemba 21, 2025

Morocco20Comoros

Desemba 22, 2025

Mali11Zambia

Desemba 26,2025

Zambia00Comoros

Desemba 26,2025.

Morocco11Mali

Ratiba ijayo kwa kundi A Desemba 29,2025

ComorosvsMali
ZambiavsMorocco

Hitimisho

AFCON 2025 Morocco 1-1 Mali unadhihirisha namna mashindano yalivyo magumu. Kila timu inaingia uwanjani kwa lengo la kupata matokeo chanya. Kundi A linaingia kwenye orodha ya makundi magumu katika kusaka hatua ya raundi ya 16.

Share this: