- SportPesa kupitia mchezo wa Goal Rush, umezidi kutoa mamilioni ya ushindi wiki hii, ambapo kila siku Watanzania wametabasamu.
- Dau kubwa la ushindi wa shilingi Millioni 100, bado lipo ambapo mshiriki anaweza kushinda.
- SportPesa Goal Rush Washindi 22-28 Novemba 2025 wiki hii wachezaji wengi zaidi wameshiriki na washindi wameshinda mamilioni.
Kampuni ya SportPesa ambayo ni nyumba ya washindi furaha imezidi kumwagika kupitia mchezo wa SportPesa Goal Rush. Kwa wiki hii tumefanikiwa kupata washindi wapya wa wiki ya 22-28 Novemba 2025, huku siku ya Ijumaa ikiandikisha washindi wengi zaidi. Hii ni kupitia ubashiri wa kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa, watu wameendelea kushinda mamilioni. Tumeshuhudia msisimko wa soka, ukiendelea mara baada ya ligi mbalimbali kurejea, huku mashabiki wetu wakithibitisha tena uwezo wao wa kutabiri matokeo kwa usahihi.
SOMA HII PIA: SportPesa Goal Rush washindi 16-22 Novemba, 2025 hawa hapa
Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu
Kumbuka unaweza kuwa mshindi mpya wa mamilioni ya SportPesa muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kucheza kupitia Kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa bonyeza picha hii chini.
SportPesa Goal Rush ni nini?
Kumbuka mchezo wa Goal Rush ni mtihani wa maarifa kwa wapenzi wa soka ambao unazidi kuwa maarufu nchini Tanzania. Mchezo huu unahitaji kujua nani anaweza kutabiri timu itakayofunga kwanza, katika kipindi gani, na hata dakika kamili bao hilo litakapofungwa. Mashindano ya wiki hii yameleta changamoto mpya na washindi walionyesha uwezo wao kwa kubashiri matokeo sahihi.
SOMA HII PIA: Kijana wa Miaka 23 Ajinyakulia TZS 100,000,000 ya Sportpesa Goal Rush!
SportPesa Goal Rush washindi 22-28 Novemba 2025 wanapata zawadi gani?
Hii ni orodha ya washindi wa wiki hii, ambao kila mmoja alijishindia zawadi ya fedha kuanzia maelfu hadi mamilioni ya shilingi kila siku, huku zawadi kuu ya Tsh 100,000,000/= ikiendelea kusubiri mshindi wa kutabiri matokeo kamili katika seti tatu za mechi. Je, unaweza kuwa wewe?
Jumamosi: Shamrashamra Saturday

Jumapili: Vibe la Sunday

Jumatatu: Mkwanja Monday

Jumanne: Tajiri Tuesday


Jumatano: Zali Day Wednesday

Alhamisi: Maokoto Thursday

Ijumaa: Faidika Friday









Wiki iliyopita tuliwasherehekea mabingwa wa soka, na wiki hii pia tunasherekea SportPesa Goal Rush washindi 22-28 Novemba 2025 mambo ni moto! Je, unajiandaa kuwa kwenye orodha ya mabingwa wa wiki ijayo? Usikose kujiunga nasi tena kwenye msisimko wa Goal Rush na uonyeshe uwezo wako wa kutabiri soka kwa usahihi!
SOMA HII ZAIDI: SportPesa Goal Rush washindi 14-20 Septemba 2025 hawa hapa
Endelea kucheza, na tunawatakia kila la kheri
SportPesa ushindi upo nawe !!

