- JS Kabylie vs Yanga SC ni mchezo ujao CAF Champions League hatua ya makundi Novemba 28,2025 Algeria.
- Ratiba ya mechi za CAF Champions League 2025/26 Stade Malien vs Simba SC kituo kinachofuata kwa wababe kutoka kundi D.
- AS FAR Rabat vs Al Ahly mtanange mkali unaotarajiwa kuchezwa Novemba 28,2025.
Hakuna kulala kwa sasa mara baada ya ratiba ya mechi za CAF Champions League 2025/26 kuwa wazi kwa kila timu. Mechi sita zitachezwa kwa timu zote na tayari matokeo ya mechi moja yamejulikana. Kila mmoja alivuna alichopanda baada ya mchezo husika kukamilika. Hapa tunakuletea ratiba na matokeo ya mechi zote.
SOMA HII: Makundi Klabu Bingwa Afrika CAF 2025/26 haya hapa | Simba SC na Yanga SC zapewa waarabu
Unasubiri nini? Vuna mamilioni sasa hivi
Kuna jambo umekwama kwa sasa kuhusu mkwanja? Usiogope, rubani ni jasiri na kazi yake ni kupaisha kindege cha SportPesa. Cheza sasa hivi Aviator uvune mamilioni bofya hapa chini, muda ni wako na nafasi ya ushindi inakusubiri.

Hivi ndivyo ratiba ya mechi za CAF Champions League 2025/26 inasomeka

Baada ya raundi ya kwanza kukamilika ratiba ya mechi za CAF Champions League 2025/26 raundi ya pili inafuata. Mechi tatu kila timu itacheza nyumbani na tatu ugenini. Mshindi wa kwanza na pili atakata tiketi kutinga robo fainali. Mechi zitakuwa namna hii:-
Raundi ya pili
Mechi za Novemba 28 / 2025: – JS Kabylie vs Yanga SC
Rivers United vs RSB Berkane
AS FAR RABAT vs Al Ahly
MC Alger vs Mamelodi Sundowns
Novemba 29,2025
Petro de Luanda vs Esperance
Power Dynamos vs Pyramids
Novemba 30,2025
St Eloi Lupopo vs Al Hilal Omdurman
Stade Malien vs Simba SC
SOMA HII: Simba SC 0-1 Petro de Luanda CAF Champions League 2025/26/ Highlights, stats, match report

Hatua ya makundi raundi ya 3
23/01/2026
Power Dynamo vs Rivers United
RSB Berkane vs Pyramids
JS Kabylie vs AS FAR Rabat
Al Ahly vs Yanga SC
St Eloi Lupopo vs MC Alger
Mamelodi Sundowns vs Al Hilal Omdurman
Stade Malien vs Petro de Luanda
Esperance ST vs Simba SC. Mechi zote raundi ya tatu zinatarajiwa kuchezwa saa 11:00 jioni.

Raundi ya 4, 30/1/2026
Rivers United vs Power Dynamos
Pyramids vs RSB Berkane
AS FAR Rabat vs JS Kabylie
Yanga SC vs Al Ahly
MC Alger vs St Eloi Lupopo
Al Hilal Omdurman vs Mamelodi Sundowns
Petro de Luanda vs Stade Malien
Simba SC vs Esperance ST. Mechi zote zinatarajiwa kuchezwa saa 11:00 jioni.
Raundi ya 5, 6/02/2026
Power Dynamos vs RS Berkane
Rivers United vs Pyramids
JS Kabylie vs Al Ahly
AS FAR Rabat vs Yanga SC
St Eloi Lupopo vs Mamelodi Sundowns
MC Alger vs Al Hilal Omdurman
Stade Malien vs Esperance ST
Petro de Luanda vs Simba SC. Mech izote raundi ya 5 zinatarajiwa kuchezwa saa 11:00 jioni.
Raundi ya 6, 13/2/2025
RSB vs Rivers United
Pyramids vs Power Dynamos
Al Ahly vs AS FAR Rabat
Yanga SC vs JS Kabylie
Mamelodi Sundowns vs MC Alger
Al Hilal Omdurman vs St Eloi Lupopo
Esperance ST vs Petro de Luanda
Simba SC vs Stade Malien. Mechi zote raundi ya 6 zinatarajiwa kuchezwa saa 11:00 jioni.
SOMA HII: CAF Champions League matokeo mechi zote hatua ya makundi 2025/26

Matokeo mechi za raundi ya kwanza na wafungaji

Novemba 21,2025
Al Hilal Omdurman 2-1 MC Alger
Magoli yamefungwa na Mohamed Raman dakika ya 75 na Abdelrazing Omer dakika ya 45 lile la MC Alger ni Mustafa Karshoum alijifunga dakika ya 53.
Novemba 22,2025
Yanga SC 1-0 AS FAR Rabat
Goli la Yanga SC limefungwa na Prince Dube dakika ya 58
Mamelodi Sundowns 3-1 St Eloi Lupopo
Magoli yamefungwa na Nuno Santos dakika ya 4 na 77, Marcelo Allende dakika ya 61 lile la St Eloi Lupopo limefungwa na Ramos Kashala Wanet dakika ya 44.
Al Ahly SC 4-1 JS Kabylie
Magoli mchezo ya Al Ahly yamefungwa na Mahmoud Trezeguet dakika ya 36 na 84, Mohamed Sherif dakika ya 39 na Mohamed Hadid dakika ya 90+3. Lile la JS Kabylie ni Mohamed El Shenawy dakika ya 90.
Esperance ST 0-0 Stade
RSB Berkane 3-0 Power Dynamo
Magoli ya RSB Berkane yamefungwa na Paul Bassene dakika ya 65, Mounir Chouiar dakika ya 16 na lile la ufunguzi ni Aaron Katebe dakika ya 13.
Pyramids 3-0 Rivers United
Magoli Ahmed Atef Otta dakika ya 72, 57 na dakika ya 52.
Novemba 23,2025
Simba SC 0-1 Petro de Luanda
Goal Benny dakika ya 78 pasi ya Tiago Reis.

