- Mamilioni ya ushindi yameendelea kushindaniwa kupitia mchezo bora wa Goal Rush, kutoka Kampuni ya SportPesa.
- Kuna dau kubwa la ushindi wa shilingi Millioni 100, ambalo mshiriki anaweza kushinda.
- SportPesa Goal Rush Washindi Agosti 24-30, 2025 wiki hii kumekuweko wachezaji wengi na washindi wameshinda mamilioni.
Ushindi ni ‘bwelele’ kutoka nyumba ya washindi Kampuni ya SportPesa kupitia mchezo wa SportPesa Goal Rush, ambapo tumefanikiwa kupata washindi wapya wa wiki ya Agosti 24-30, 2025. Hii ni kupitia ubashiri wa kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa, watu wameendelea kushinda mamilioni. Tumeshuhudia msisimko wa soka ukiendelea mara baada ya ligi mbalimbali kurejea, huku mashabiki wetu wakithibitisha tena uwezo wao wa kutabiri matokeo kwa usahihi.
Cheza sasa ‘Kindege’ SportPesa uvune mamilioni muda huu
Bado hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kupitia Kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa bonyeza picha hii chini.

SportPesa Goal Rush ni nini?
Mchezo wa Goal Rush ni mtihani wa maarifa kwa wapenzi wa soka ambao unazidi kuwa maarufu nchini Tanzania. Mchezo huu unahitaji kujua nani anaweza kutabiri timu itakayofunga kwanza, katika kipindi gani, na hata dakika kamili bao hilo litakapofungwa. Mashindano ya wiki hii yameleta changamoto mpya na washindi walionyesha uwezo wao kwa kubashiri matokeo sahihi.
SOMA HII PIA: Kijana wa Miaka 23 Ajinyakulia TZS 100,000,000 ya Sportpesa Goal Rush!
SportPesa Goal Rush washindi Agosti 24-30, 2025 washindi wanapata zawadi gani?
Hii ni orodha ya washindi wa wiki hii, ambao kila mmoja alijishindia zawadi ya fedha kuanzia maelfu hadi mamilioni ya shilingi kila siku, huku zawadi kuu ya Tsh 100,000,000/= ikiendelea kusubiri mshindi wa kutabiri matokeo kamili katika seti tatu za mechi. Je, unaweza kuwa wewe?
SOMA HII PIA: SportPesa Goal Rush: Washindi 7-13 Juni 2025
Jumamosi: Shamrashamra Saturday

Jumapili: Vibe la Sunday

Jumatatu: Mkwanja Monday


Jumanne: Tajiri Tuesday





Jumatano: Zali Day Wednesday



Alhamisi: Maokoto Thurday






Ijumaa: Faidika Friday

Wiki iliyopita tuliwasherehekea mabingwa wa soka, na wiki hii pia tunasherekea washindi wa SportPesa Goal Rush washindi Agosti 24-30, 2025 mambo ni moto! Je, unajiandaa kuwa kwenye orodha ya mabingwa wa wiki ijayo? Usikose kujiunga nasi tena kwenye msisimko wa Goal Rush na uonyeshe uwezo wako wa kutabiri soka kwa usahihi!
Endelea kucheza, na tunawatakia kila la kheri
SportPesa ushindi upo nawe !!

