Mid-Week Jackpot bonus winner Kelvin MadengeMicrosoftTeams-image-

Ni kwa mara nyingine tena, sportpesa inaendelea kutoa washindi wa Mid-Week Jackpot bonus. Safari hii ilikuwa ni zamu ya Kelvin Andrea Madege, Mkazi wa Iringa, akitokea pale katika kitovu cha jiji la wahehe.

Akizungumza jijini Dar-Es-salaam, katika ofisi za Sportpesa, wakati wa makabidhiano ya mfano wa hundi, ya zaidi ya shilingi milioni 4, Kelvin Andrea Madege, alisema alianza kucheza na Sportpesa kuanzia mwishoni mwa mwaka 2019 kabla ya janga la ugonjwa wa Covid kuingia Tanzania.

“Nilianza kucheza na SportPesa kuanzia nafikiri Mwezi Desemba 2019. kipindi hicho nilikuwa mara kwa mara na tabia ya kuwatembelea washikaji zangu maskani ambapo ni gereji niliyozoeleka’’.

Anaendelea kusema kutokana na kazi yake ya udereva na ufundi magari rafiki yake aitwae Fredy aliweza kumfundisha namna ya kubashiri.

‘’Huyu Fredy ndiye chanzo kikuu cha mimi kuanza kubashiri na SportPesa. Yeye ndiye aliyenivutia mimi kupata hamu ya kujifunza, baada ya kushinda kwa mara ya kwanza Sh 200,000 kama Jackpot bonus baada ya kupatia kwa usahihi mechi 10 kati ya 13 za Mid-Week Jackpot’’.

Akiwa bado katika harakati za kuendelea kujifunza Kelvin alikutana na  kijana mwingine wa mtaani kwake, ambaye naye walikuwa wakifanya kazi pamoja.

Kijana huyu anaitwa Solomon, yeye ndiye aliyenipa maelekezo ya ziada na kunielekeza jinsi au namna ya kupakua app ya SportPesa. Hapo ndipo rasmi na mimi nilianza kubeti na kampuni ya SportPesa.

‘’Baada ya muda Rafiki yangu Fredy alishinda kiasi cha shilingi milioni 5. Hapo ndipo nilipata moyo wa kuendelea kucheza nikiamini ipo siku na mimi nitashinda.

Mara nyingi nimekuwa nikiweka mikeka yangu siku ambayo niko free. Nikipata nafasi tu huwa naangalia Supa Jackpot ya mechi 17 au Mid-Week Jackpot ya mechi 13.

Nilikuja kugundua kwamba, kwenye Jackpot ya mechi 17, nilikuwa natumia muda mwingi sana kuchambua na ku pangilia mechi.

Hivyo nikaamua kujikita kucheza jackpot ya mechi 13 ili kupunguza muda wa kufuatilia na kuchambua timu husika’’.

Ninakumbuka mara ya mwisho allivyobashiri niliweka mikeka 4. Baada ya kubashiri nilisafiri. Kule nilipokwenda kulikuwa na shida ya mtandao, hivyo haikuwa rahisi kwa mimi kuifuatilia mikeka yangu niliyoweka.

Kelvin alirudi nyumbani akitokea safarini baada ya siku mbili. Siku iliyofuata hakuweza kufuatilia matokeo ya mkeka wake wa Jackpot kutokana na kuwa busy na kazi.

 

Mid-Week Jackpot bonus winner Kelvin MadengeAnasema alikuja kupigiwa simu na mtoa huduma wa Sportpesa wakati yupo njiani kuelekea ofisini na kuelezwa kuwa ameshinda bonus katika mkeka wa Jackpot.

‘’Nilipata furaha isiyo kifani. Baada ya hapo niliangalia simu yangu ili kuhakikisha na kukuta meseji ya ushindi ikinipongeza. Baada ya hapo  nilimshirikisha Fred rafiki yangu na kumuonyesha ile meseji akaniambia kuwa hiyo ni kweli nimeshinda.

Nilimtaarifu mke wangu kuhusu ushindi huu maana mara nyingi alikuwa akiniambia wewe muda wote unawaza kubeti, alifurahi sana baada ya kuona meseji ile ya ushindi.

Ushindi huu unanifanya nipate nguvu ya kuendelea kucheza ili niweze kuja kushinda zile shilingi milioni 600.

Kelvin anamalizia kwa kusema mkeka wake wa ushindi aliupanga kutokana na timu za taifa zilizokuwa zinacheza katika Jackpot hiyo.

“Katika kila mechi nilikuwa naangalia rekodi za timu zinazocheza, wachezaji wao, kama walishawahi kufuzu kwenye michuano mingine yoyote hapo, ubora wat imu ikiwa nyumbani au ugenini pamoja na na takwimu nyinginezo.

Ningependa kuwashauri watu wasikate tamaa, waendelee kucheza kwa wingi, kwani ni kitu ambacho kinasaidia sana. Sasa hivi vijana tuko wengi sana. Hakuna ajira ya uhakika na unakuwa na stress ya kujua utapataje kipato.

Cha mwisho nilichojifunza kwenye mchezo huu wa kubashiri ni kwamba hutakiwi kuumiza sana kichwa. Unachotakiwa kujua vizuri ni historia ya kila timu,  hiyo itakurahisishia kwenye kushinda kwa urahisi.

Aliongeza kwa kusema mara nyingi huwa anaangalia mikeka yake kuanzia jumatatu au jumanne, kwa sababu mechi nyingi huchezwa kuanzia Jumatano au wikiendi’’. Alisema Kelvin

Akimpongeza Kelvin kwa ushindi wa jackpot bonus, mkuu wa kitengo cha mawasiliano wa kampuni ya sportpesa Sabrina Msuya alimtaka kuendelea kucheza jackpot na huenda siku moja ataibuka kuwa mshindi wetu wa jackpot kamili.

“Kwanza nikupongeze kwa ushindi wako huu ulioupata na pia nakusihi uendelee kucheza jackpot za sportpesa, multibet pamoja na michezo mingine kama ya kasino ya Virtual Pro na Aviator” Alisema Sabrina

Jackpot mid-week hii imesimamia 629,917,760

 

 

Share this: