Cash-Patrol-Cash-Patrol-

‘’Ni muda wa kuzuia uhalifu’’. Hivi ndivyo tunavyoanza siku na mchezo wa kuburudisha unaokwenda kwa jina la Cash Patrol. Mchezo huu wa Kasino wenye maudhui ya ki ulinzi na usalama, ikisanifiwa na kauli mbiu ya kipolisi, inaashiria tukio la kijambazi linawaingiza polisi mtaani.

Kama nilivyotambulisha hapo juu, huu ni mchezo wa kimtandao wa Kasino, unaoakisi mapambano baina ya polisi, na majambazi ambao wanajaribu kuiba mkwanja mrefu, ukiashiria jitihada katika kutafuta pesa ndefu ili kufanikiwa.

Sasa mchezo huu kwa namna ambayo umebuniwa na kusanifiwa umeakisi maudhui ya ulinzi, usalama na ujambazi. Kwa hivyo tegemea kukutana alama za magari yanayokimbizana kwa kasi, kibunda cha pesa, pingu, kingóra, kofia ya polisi na alama inayofanana na andazi aina ya donut, lakini ikitumika katika alama Q.

Kama ilivyokuwa kwa michezo karibu yote tuliyoitambulisha katika makala zetu mchezo huu wa Cash Patrol unatumia maduara matano (five reels), na pia una mistari 25 ya malipo (25 payline) pamoja na jumla ya alama 17.

Ili kuupa uhalisia wa kimaudhui mchezo huu unajiendesha kwa kutumia mfumo wa makusanyo ya pesa (money Collects), alama za WILD zinazoongezeka (expanding WILD), Makusanyo ya ziada (extra collect), na malipo makubwa (giant wins), haya hutokea tu pale polisi watakapomkata  mhalifu au watakapokamata mzigo wa kiuhalifu.

ALAMA ZA MCHEZO WA CASH OUT PATROL

Kama nilivyotanabaisha hapo awali, mchezo huu unajiendesha kwa kutumia mfumo wa makusanyo (collect). Sasa alama za kwanza kabisa ambazo ninakutambulisha nazo ni hizi za makusanyo ambazo zipo tano.

Kitu ambacho unatakiwa kufahamu kabla ya kuzijua kwa undani alama hizi ni kwamba alama hizi zitajihuisha, ikiwa zitatokea kwenye kasha la duara  la kwanza, la pili, la tatu na la nne katika kila mzunguko utakaocheza na hivyo kila mojawapo kati ya alama hizi itakuwa na thamani inayojitegemea.

Ya kwanza ni Collect hii ni alama inayowakilisha thamani ya alama zote za malipo zilizopo ama unazoziona mbele ya kioo cha kifaa unachotumia kucheza zikijumlishwa na kulipwa kwa pamoja.

Ya pili ni pesa ya makusanyo ya ziada (Extra Credit Collect), hapa thamani ya pesa yote ya ziada iliyopo mbele ya kioo chako inajumlishwa na alama zote za pesa na kulipwa.

Ya tatu ni makusanyo ya kuzidisha (multiplier Collect) hapa thamani ya alama za pesa yote iliyokusanywa inazidishwa na thamani ya pesa yote ya kuzidishwa alafu malipo yote yanajumlishwa pamoja na kulipwa.

Ya nne ni Expanded Collect- alama hii inafanya kazi ikiwa japo alama moja ya pesa itajitokeza kwenye moja ya maduara, hivyo itapelekea alama hii kutanuka ama kujaa au kujaza duara (expand to fill the reel) na alama za pesa.

Alama za pesa ambazo zitakazoongezeka zitatoa thamani isiyo na mpangilio maalum na baada ya hapo thamani yote itajumlishwa na kulipwa kwa pamoja.

Alama za mchezo wa Cash Patrol KasinoYa tano ni alama ya makusanyo ya Mizunguko ya kujirudia (re Spin Collect). Ikitokea alama hii ya makusanyo ya mizunguko ya kujirudia imetokea kwenye kasha la duara, basi alama ambazo zipo kwenye kioo zitabakia hivyo, mpaka pale alama zilizobakia za makusanyo zitakapojizungusha kwenye maduara manne yaliyobaki na majibu kupatikana na kisha thamani yote ya pesa za makusanyo zitajumlishwa na kulipwa.

Ukiachia alama hizo 5 za makusanyo kuna alama za jumla ambazo zipo kwenye mchezo huu wa Cash Patrol. Alama hizo ni pamoja na Kingóra ambacho chenyewe kinajulikana kama SCATTER na pia ndio alama hii zikitoka 3 zinahuisha mizunguko ya bure yaani (free bonus spins).

Alama inayofuatia ni alama ya ndege Tai yenye mngao wa dhahabu na alama ya nyota kifuani. Alama hii inaambatana pamoja na maandishi ya WILD. Kazi kubwa ya alama hii katika mchezo huu ni kuzipa thamani alama zingine kwa kujihuisha nazo.

Kuna alama 3 tu ambazo WILD haiwezi kujihusiha nazo ambzo ni pamoja na bonus, alama ya pesa na alama ya makusanyo.

ALAMA YA MICHEZO YA BURE (FREE SPIN FEATURES)- Cash Patrol

 

Ikiwa utapata alama tatu za bonus katika duara namba 2,3 na 4 basi michezo au mizunguko 8 ya bure itajihuisha. Alama ya Kingóra ndio inasimama kama kiashiria za upataji wa michezo hiyo. Kingóra kwenye mchezo huu inahesabika kama SCATTER, lakini ikiwa zimefuatana kwenye maduara basi mchezo au michezo ya bure itajihuisha.

Katika muda huu ambapo michezo ya bure itakuwa inafanya kazi, ndipo alama ya pesa na alama za makusanyo zitakuwa hai katika kila mzunguko.

Hapa ndipo alama ya pes ana makusanyo zitakuwa zikijaa kwenye kibubu cha bonus au bonus pot.

Baada ya michezo yote ya bure kwisha, pesa pamoja na makusanyo yote vitarudishwa kwenye makasha ya duara (returned to the real in a form of giant money symbol) kwa mfumo wa fedha nyingi sana na maandishi yanayosomeka (pesa nene) yatatokea kuanzia kasha la duara namba 1 mpaka kasha la duara namba 4. Hapo ndipo mchezo wa bure wa mwisho utasubiriwa kujihuisha.

Cash-Patrol-Na kama alama ya makusanyo itatokea katika kasha la duara namba 5 basi thamani ya bonus katika kibubu italipwa. Na ikiwa alama tatu za bonus zitajirudia tena katika michezo ya bure inayoendelea katika kasha la duara 2,3 na 4 basi michezo ya bure 8 itajihuisha tena. Kitu muhimu cha kukumbuka hap ani kwamba bonus hizi hazina kikomo.

Natumai nitakuwa nimejitahidi kukupa mwanga kidogo kuhusiana na mchezo huu wa Cash Patrol ambao unapatikana katika tovuti yetu ya sportpesa.co.tz, bonyeza kitufe cha Kasino chagua kitufe kilichoandikwa popular na utaukuta mchezo huu.

 

 

Share this: