skip to Main Content
Boom Pirates Online Slots.
Boom-Pirates-

Boom Pirates Online Slots.

Boom Pirates Online Slots.

Kampuni ya Shiver me timbers na Foxium Gaming wamerudi tena. Kaa tayari kushangazwa na toleo lao jipya la ubunifu wa ki software.

Boom-Pirates-Wabunifu wa kampuni ya michezo ya Kasino Wonderways wamehakikisha mteja unayetaka kubashiri unapata mpaka njia milioni 10 za kushinda wakati bonasi sahihi zitakazojitokeza.

Jinsi ya kucheza

Kwanza unachagua mistari ya namba za malipo unayotaka kucheza kweye kila mzunguko kwa mistari 1024 ya malipo kwenye kila mchezo, ikiwa una bahati unaweza ukachagua kwa usahihi na kuhuisha namba yoyote mpaka zaidi ya namba milioni 10 za malipo. Hapo ndipo utakapojua maajabu ya kampuni ya michezo ya Kasino Wonderways.

Mchezo huu wa Casino Pirates unakuruhusu kubashiri kwa viwango vifuatavyo.
– -Unaweza ukaongeza kuongeza kiwango chako cha pesa cha ubashiri kwa kubonyeza kitufe cha “Ongeza Ubashiri”.
– Ukitaka mchezo huu wa Casino wa Pirates ujiendeshe wenyewe unabonyeza kitufe cha (Auto Play).
– Unawea kuchagua mizunguko kadiri unavyojisikia kwa kutumia kitufe cha kujiendesha chenyewe(Auto Play) wakati mchezo unaendelea.
– Ukitaka kupunguza ubashiri wako, bonyeza kitufe cha punguza ubashiri (Decrease Bet).
– Baada ya hapo unaweza kubonyeza kitufe cha zungusha (Spin) ili kuanzisha mzunguko wa mchezo.
– Mzunguko ukisimama/ukimalizika utaona malipo yako ya mwisho
– Kiwango cha malipo kilichowahi kurekodiwa mpaka sasa ni malipo ya mara 3800 ya ubashiri uliowekwa. Kwa odds nzuri una uhakika wa malipo makubwa.

Boom-Pirates-Alama za Bonasi

Utafurahi kujua kuwa mchezo wa Boom Pirates unakupa ofa ya sio tu alama moja au mbili bali alama tatu nzuri, ambazo ni Cannonballs, Alama ya shambulizi ya Swashbuck na bonasi ya bure. Bila kusahau alama ya kipekee ya Foxify.

1. The Cannonballs / Boom Pirates feature:
Alama hii inajitokeza bila mpangilio wowote na bila taarifa kwenye mzunguko, pale itakapokuwa imehuishwa. Alama hii inaweza kupelekea mizunguko kuongezeka katika njia za maajabu za malipo zaidi ya milioni 10. Kwa usahihi zaidi.

2. The Mary’s Swashbuckling Attack feature:
Alama hii inajitokeza bila mpangilio wowote na bila taarifa kwenye mzunguko, pale itakapokuwa imehuishwa. Alama hii inaweza kukupeleka kwenye njia nyingi za malipo za mpaka milioni 10.

3. The Free Spins feature:
Alama hii huuishwa pale utakapopata alama 3 au zaidi zilizo sambaa. Alama hii unaweza ukaihuisha kwa kucheza bonasi ya mara 66 zaidi ya kiwango cha ubashiri wako.

4. The Foxify™ feature :
Alama hii inaweza kuongeza odds za kuchochea michezo ya bure. Yafaa kutambua kwamba ukichagua alama hii utaongeza ukubwa wa ubashiri wako kwa asilimia 50.

Boom-Pirates-Foxium wamevunja rekodi kwa kubuni aina hii ya aina ya mchezo wa video ya kujizungusha. Sio tu kwa aina ya ubunifu uliowekwa ambao utakufanya ufurahia wakati wote wa kucheza mchezo huu. Pia wameweka alama ambazo zinazunguka kwa kasi ya ajabu kwenye mistari kwenye mizunguko ya bure, kwenye alama za milipuko za Cannon Balls na kuifanya uweze kuifurahia.

Tunapenda kukushauri ujaribu kucheza mchezo huu, ambapo utakufurahisha.

Kiwango cha zawadi kimewekwa kulingana na alama ambayo utipata katika mzunguko. Boom pirates ni mchezo wa mashine uliojaa alama nyingi. Baadhi ya alama hizo ni Pamoja na Mizunguko ya bure, Mizunguko inayokua na mchezo wa bonasi wa Boom Pirates Foxify.

Share this:
Back To Top