MANCHESTER KUIWEZA SEVILLA? -Ni Robo Fainali Kombe La Europa
MANCHESTER United kesho inaikaribisha timu ya Sevilla inayoshiriki Ligi kuu ya Uhispania katika mchezo wa ngwe ya kwanza ya robo fainali ya michuano ya ligi ya Europa, utakaochezwa katika Uwanja…
