Simba SC Yathibitisha Kulipwa Deni na Fadlu Davids | SportPesa Blog
Klabu ya Simba SC imethibitisha kupokea malipo ya deni lake kutoka kwa aliyekuwa kocha mkuu, Fadlu Davids, na wasaidizi wake. Hii inafuatia mvutano wa muda mrefu kuhusu deni hilo.