FUNDI UJENZI ALAMBA Sh 10,124,322 KAMA BONUS BAADA YA KUCHEZA SUPA JACKPOT YA SPORTPESA.
Fundi Ujenzi wa kupaua nyumba, kutoka Mlandizi Stendi, Pwani Kenedy Kellya, ameibuka na kitita cha shilingi Milioni 10,124,322 katika Supa Jackpot bonus ya wikiendi iliyopita baada ya kupatia kwa usahihi…
