WYDAD ATHLETIC vs MAMELODI SUNDOWNS- Ni vita ya Kaskazini VS Kusini mwa Africa
Nusu fainali ya kwanza ya Klabu bingwa Afrika inanguruma leo Jumamosi ya Mei 13,2023 ambapo majira ya saa 4 usiku katika uwanja wa Stade Mohammed V, mabingwa mara 3, Wydad…
