Clatous Chama kumalizana na Simba SC sababu zatajwa/ Awesu katambulishwa Police FC Kenya
Clatous Chama kumalizana na Simba SC dirisha dogo la usajili. Kiungo huyo kwa sasa yupo Singida Black Stars. Alijiunga hapo mara baada ya mkataba wake na Yanga SC kuisha. Tetesi…
