Bosnia & Herzegovina vs Sweden UEFA Nations LeagueBosnia & Herzegovina vs SwedenBosnia & Herzegovina vs Sweden

 Bosnia & Herzegovina vs Sweden UEFA Nations League
 Isac nyota wa timu ya taifa ya Sweden
  • Oktoba 2, 2026 Bosnia & Herzegovina vs Sweden UEFA Nations League pambano kali litapigwa saa 3:45 usiku
  • Huu ni mchezo wa 3 kwa Kundi H, Bosnia & Herzegovina ipo nafasi ya 2 na pointi 4, Sweden nafasi ya 1 pointi 6.
  • Makala hii inachambua kwa ufupi mchezo ikiangazia takwimu muhimu, lineups prediction

Bosnia & Herzegovina vs Sweden UEFA Nations League unatarajiwa kuchezwa Oktoba 2, 2026 saa 3:45 usiku Uwanja wa  Bilino Polje” in Zenica. Pambano hili ni muhimu kwa timu zote mbili katika harakati zao za kusonga mbele kwenye mashindano haya makubwa barani Ulaya. Hapa SportPesa tumekuletea uchambuzi wa kina wa mchezo huu, tukichunguza vikosi, fomu za timu, na takwimu za kihistoria. Mchezo huu unatarajiwa kuwa na ushindani mkali, huku kila timu ikitaka kujipatia pointi tatu muhimu.

SOMA HII PIA: Hungary vs Georgia: Mtanange wa UEFA Nations League | Prediction | Lineup

Unaweza kuweka mkeka wako wa mechi hii Bosnia & Herzegovina vs Sweden kupitia SportPesa  kwa kubonyeza hapa chini

Bosnia
Bosnia

Bosnia & Herzegovina vs Sweden predicted lineups

  • Bosnia & Herzegovina: Zlomislic; Memic, Katic, Muharemovic, Kolasinac; Basic, Gigovic; Bajraktarevic, Mahmic, Alajbegovic; Tabakovic
  • Sweden: Johansson; Svensson, Starfelt, Lindelof, Gudmundsson; Zeneli, Bergvall, Karlstroem, Nanasi; Swedberg, Gyokeres

 H2H Bosnia & Herzegovina vs Sweden

Timu ya taifa ya Sweden imekuwa na rekodi ya kupata matokeo mazuri dhidi ya wapinzani wao wanapokutana.Mechi iliyopita walipokutana kwenye mchezo wa kirafiki Mei 29, 2010 Uwanja wa Rasunda, Sweden ilipata ushindi wa mabao 4-2. Mchezo wa Ijumaa unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa wakikutana kwenye UEFA Nations League.

Msimamo wa Kundi H

Timu Mechi Ushindi sare Pointi
1. Sweden 2 2 0 6
2. Bosnia & Herzegovina 2 1 1 4
3. Poland 2 0 1 1
4. Romania 2 0 0 0

Utabiri na uchambuzi wa SportPesa

Mchezo huu unatarajiwa kuwa na ushindani mkali, huku timu zote zikionyesha azma ya kushinda. Sweden wanaonekana kuwa na faida kidogo kutokana na mwanzo wao mzuri kwenye kundi. Hata hivyo, kucheza ugenini dhidi ya Bosnia na Herzegovina kunaweza kuwa changamoto.

Uchambuzi wetu unaonyesha kuwa mchezo unaweza kuwa na mabao machache, huku timu zote zikijilinda vizuri. Matokeo ya sare au ushindi mwembamba kwa upande wa Sweden yanawezekana. Hata hivyo, katika soka lolote linaweza kutokea.

SOMA HII PIA:UEFA Champions League results, fixtures and table

Hitimisho

Bosnia & Herzegovina vs Sweden ni mechi ya 3 hatua ya makundi. Vinara wa kundi wanakutana na timu ambayo ipo nafasi ya pili jambo linaloongeza ushindani. Cheza na SportPesa na ushinde!

Share this: