- Ali Kamwe: Tutatoa kichapo mechi zijazo kuonyesha mabadiliko
- Yanga SC bado ipo kazini, ratiba ya NBC Premier League mechi zijazo 2025/26
- Yanga SC vs Tanzania Prisons kituo kinachofuata Uwanja wa KMC Complex
- Kariakoo Dabi itakuwa Mei 3, 2026, Simba SC vs Yanga SC
Yanga SC bado ipo kazini kutokana na mechi zinazofuata NBC Premier League. Ratiba inaonyesha Aprili 4,2026 ni Yanga SC vs Tanzania Prisons, Uwanja wa KMC Complex. Katika mechi tatu zilizopita, mabingwa watetezi walivuna pointi tatu.
SOMA HII: Yanga SC 7-1 Polisi Tanzania CRDB Federation Cup kituo kinachofuata Mbeya/ Ratiba na msimamo
Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Yanga SC bado ipo kazini, ratiba ya mechi zinazofuata

Hakuna kulala, Yanga SC bado ipo kazini ndani ya NBC Premier League. Baada ya kumtambulisha Abdihamid Moalin, kocha msaidizi ratiba inaendelea. Kariakoo Dabi mzunguko wa pili inatarajiwa kuwa Mei 3, 2026, Simba SC vs Yanga SC.
Msimamo wa 5 bora NBC Premier League
| POS | MP | W | D | L | PTS |
| Yanga SC | 16 | 11 | 5 | 0 | 38 |
| Simba SC | 14 | 9 | 4 | 1 | 31 |
| 3. Azam FC | 15 | 7 | 8 | 0 | 29 |
| 4. JKT Tanzania | 17 | 7 | 7 | 3 | 28 |
| 5.Pamba Jiji FC | 16 | 6 | 7 | 3 | 25 |
Kwenye msimamo Yanga SC baada ya kucheza mechi 16, (MP) ipo nafasi ya 1, (POS). Ushindi, (W) mechi 11, imetoa sare, (D) mechi 5. Wananchi hawajapoteza (L) mchezo.
SOMA HII: Usajili Yanga SC umeanza Emmanuel Samuel asaini miwili/ Okello mkataba mpya

Ratiba ya Yanga SC NBC Premier League mechi zijazo

Yanga SC vs Tanzania Prisons, Aprili 4,2026
Pamba Jiji FC vs Yanga SC, Aprili 8,2026
Yanga SC vs Mbeya City, Aprili 16,2026
KMC Fc vs Yanga SC, Aprili 16,2026
Yanga SC vs Coastal Union, Aprili 30,2026
Simba SC vs Yanga SC, Mei 3,2026
Dodoma Jiji FC vs Yanga SC, Mei 6, 2026
Yanga SC vs Dodoma Jiji FC, Mei 15,2026
Yanga SC vs Namungo FC, Mei 19,2026
Mashujaa FC vs Yanga SC, Mei 23,2026
Yanga SC: Tutatoa kichapo kwenye ligi

Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC amesema chini ya Kocha Mkuu, Pedro Goncalves watatoa kichapo mechi zijazo. Kiongozi huyo aliongeza wanatambua ugumu uliopo watapambana. Kamwe alisema wataanza na Tanzania Prisons.
“Ligi ni mwezi wa nne hivyo ukiangalia ni kama siku chache ligi itaanza tena tunaamini baada ya mapumziko haya tutarejea uwanjani.
“Kwenye maboresho ambayo yamefanywa baada ya mapumziko tutarudi kutoa kichapo. Nimeona baada ya mapumziko timu inayofuata ni Tanzania Prisons. Tunataka kutumia mchezo huo kuwaonyesha mashabiki kwamba tumefanya maamuzi sahihi kuitoa timu ilipo na kuipeleka katika level za juu,”.
SOMA HII: Ratiba ya Yanga SC 2025/26 ni moto/ Mechi 5 NBC Premier League ugenini/ Msimamo, matokeo

Hitimisho
Yanga SC bado ipo kazini kupambania taji la NBC Premier ambalo lipo mikononi mwao. Timu hiyo chini ya Kocha Mkuu, Pedro Goncalves haijapoteza mchezo baada ya mechi 16. Inaongoza ligi ikiwa na pointi 38.

