- Mashujaa FC 0-0 Azam FC, mchezo umekamilika bila goli kufungwa kwa timu zote mbili
- Mashujaa FC yaibana Azam FC ikiwa nyumbani, Uwanja wa Lake Tanganika, Kigoma
- Feisal Salum alikuwa kwenye ulinzi mkali wa wanajeshi wa mpakani ili asilete hatari
Mashujaa FC yaibana Azam FC NBC Premier League, Uwanja wa Lake Tanganyika. Miamba hawa wawili wametoshana nguvu kwa dakika 90 kukamilika bila kufungana. Mwisho matoke oni Mashujaa FC 0-0 Azam FC ilikuwa hivyo wakati wa mapumziko pia.
SOMA HII: Mashujaa FC 0-0 Azam FC NBC Premier League
Je, bado hujashinda mamilioni? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune pesa sasa
Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Mashujaa FC yaibana Azam FC NBC Premier League

Mashujaa FC yaibana Azam FC NBC Premier League kwa kujilinda mbele ya matajiri hao wenye safu kali ya ushambuliaji. Azam FC inayonolewa na Frolent Ibege imefunga jumla ya magoli 21 ilikuwa inapambana na Mashujaa FC yenye magoli 9.
Rekodi za Mashujaa FC 0-0 Azam FC
| Mashujaa FC | Azam FC | |
| 5 | Mashuti | 7 |
| 2 | Lenga lango | 1 |
| 43% | Umiliki | 57% |
| 3 | Mashuti yasiyolenga lango | 6 |
| 0 | Kadi nyekundu | 0 |
| 4 | Kadi ya njano | 3 |
| 3 | Kona | 4 |
| 0 | Magoli | 0 |
Msimamo wa Mashujaa FC vs Azam FC

| POS | MP | W | D | L | PTS |
| 2. Azam FC | 15 | 7 | 8 | 0 | 29 |
| 11. Mashujaa FC | 17 | 4 | 7 | 6 | 19 |
Hitimisho
Mashujaa FC yaibana Azam FC NBC Premier League kwa kupata pointi moja wakiwa nyumbani. Matajiri wa Dar, wanafikisha idadi ya mechi 15 bila kufungwa. Mashujaa FC baada ya mechi 17 wamepoteza 6.

