- Pedro Goncalves Kocha Mkuu wa Yanga SC afichua kuhusu uchovu wa wachezaji
- Azam FC 0-0 Yanga SC Dar Derby, Uwanja wa Mkapa
- Feisal Salum man of the match baada ya dakika 90
- Rekodi ya timu ambazo hazijafungwa NBC Premier League inazidi kudunda
Azam FC 0-0 Yanga SC matokeo rasmi NBC Premier League. Dar Derby imekamilika Machi 15 2026 Uwanja wa Mkapa kwa wababe kugawana pointi mojamoja. Feisal Salum alichaguliwa kuwa man of the match.
SOMA HII: Azam FC vs Yanga SC: Azam yawabadilishia Uwanja Wananchi, Ratiba matokeo Ligi Kuu ya NBC
Je, bado hujashinda mamilioni? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune pesa sasa
Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Azam FC 0-0 Yanga SC hakuna mbabe

Baada ya ubao kusoma Azam FC 0-0 Yanga SC NBC Premier League hakuna mbabe kwa wawili hawa.Rekodi zao zinadunda kuwa timu pekee ambazo hazijapoteza. Matajiri wa Dar wamecheza mechi 14 sawa na wananchi.
Pedro Goncalves, Kocha Mkuu wa Yanga SC amebainisha kuwa wachezaji wa timu hiyo wanakumbwa na uchovu kutokana na ratiba waliyonayo. Kwa upande wa Florent Ibenge, Kocha Mkuu wa Azam FC amewapongeza wachezaji kwa kupambana licha ya kukosa ushindi.
SOMA HII: Taarifa mpya Tanzania Prisons vs Yanga SC/ Vikosi kazi Machi 12,2026

Azam FC 0-0 Yanga SC rekodi
| Azam FC | Yanga SC | |
| 6 | Mashuti | 4 |
| 1 | Lenga lango | 1 |
| 5% | Umiliki | 50% |
| 5 | Mashuti yasiyolenga lango | 3 |
| 0 | Kadi nyekundu | 0 |
| 3 | Kadi ya njano | 2 |
| 5 | Kona | 3 |
| 0 | Magoli | 0 |
Msimamo Azam FC vs Yanga SC
| POS | MP | W | D | L | PTS |
| 1. Yanga SC | 14 | 11 | 3 | 0 | 36 |
| 2. Azam FC | 14 | 7 | 7 | 0 | 28 |
Kikosi cha Azam FC vs Yanga SC
Langoni ni Aishi Manula
Lusajo Mwaikenda
Yoro Diaby
Fuentes
Feisal Salum
Idd Seleman
James Akamiko
Zidane Sereri
Pascal Msindo
Himid Mao
Asharafu Kibeku
Wachezaji wa akiba
Abah Abel, Lameck Lawi,Nathaniel Chilambo, Diakite, Jean Ngita, Twalibu, Sadio Kanoute, Zuber Foba, Kitambala na Charles.
Kikosi cha Yanga SC vs Azam FC

Langoni
Djigui Diarra
Mabeki
Israel Mwenda, Zimbwe Jr, Nondo, Bacca. Viungo ni Abuya, Maxi, Mudathir na Okello.
Washambuliaji ni Prince Dube na Depu
Wachezaji wa akiba
Aboutwalib Mshery, Abubakari, Assink, Andabwile, Yao, Abdulnasir, Shekhan, Emmanuel, Bupa, Damaro na Pacome.
SOMA HII: Yanga SC bingwa NMB Mapinduzi Cup 2026 kwa penati 5-4 Azam FC/ Highligts, stats

Hitimisho
Azam FC 0-0 Yanga SC mwisho wa ubishi mchezo wa mzunguko wa kwanza. NBC Premier League inazidi kushika kasi kutokana na ushindani uliopo. Rekodi zinaonyesha Azam FC na Yanga SC 2025/26 hazijaonja joto yakupoteza mechi kwenye ligi.

