- Abdi Banda kukosekana mchezo wa Machi 11,2026 Tanzania Premier League
- Dodoma Jiji vs Azam FC NBC Premier Uwanja wa Jamhuri, Dodoma Jumatano, Machi 11,2026.
- Azam FC 5-0 Dodoma Jiji FC ushindi mkubwa uliopatikana walipokutana hivi karibuni
- Dar Dabi inafuata Azam FC vs Yanga SC, Machi 15,2026 Uwanja wa Mkapa
Dodoma Jiji FC vs Azam FC NBC Premier League ni ratiba inayofuata. Machi 11, 2026, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, saa 1:15 usiku. Baada ya mchezo huo Azam FC vs Yanga SC itafuata Machi 15,2026 Uwanja wa Mkapa.
SOMA HII: Dodoma Jiji FC 0-0 Simba SC 25/02/2026 NBC Premier League/ Highlights, standings
Je hujashinda? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa hivi
Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Dodoma Jiji FC vs Azam FC Abdi Banda kukosekana

Rekodi zinaonyesha kuwa Dodoma Jiji FC vs Azam FC haijawahi kuwa rahisi. Hii inatokana na matokeo yanayopatikana uwanjani. Matajiri wa Dar, Azam FC wamekuwa na bahati kupata ushindi.
Katika mchezo wa kesho, beki wa Dodoma Jiji FC Abdi Banda atakosekana kutokana na adhabu yakufungiwa mechi na Bodi ya Ligi Tanzania. Matajiri Azam FC tayari wapo Dodoma kwa maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo huo.
Dodoma Jiji FC vs Azam FC H2H
13/05/2025, Azam FC 5-0 Dodoma Jiji FC
1/12/2024, Dodoma Jiji FC 1-3 Azam FC
03/03/2024, Azam FC 4-1 Dodoma Jiji FC
03/10/2023, Dodoma Jiji FC 0-0 Azam FC
04/02/2023, Dodoma Jiji FC 2-1 Azam FC
Dodoma Jiji FC imetoka kupata ushindi wa magoli 2-0 African Sports. Azam FC imetoka kushinda kwa goli 1-0 mchezo wa CRDB Federation Cup dhidi ya Mbeya Kwanza, Uwanja wa Azam Complex. Zote zimetinga hatua ya 16, bora.

Dodoma Jiji FC vs Azam FC NBC msimamo

| POS | MP | W | D | L | PTS |
| Yanga SC | 12 | 10 | 2 | 0 | 32 |
| JKT Tanzania | 17 | 7 | 7 | 3 | 28 |
| 3. Azam FC | 12 | 6 | 6 | 0 | 24 |
| 4.Simba SC | 11 | 7 | 3 | 1 | 24 |
| 5.Pamba Jiji FC | 15 | 6 | 6 | 3 | 24 |
| 6.Namungo FC | 16 | 5 | 6 | 5 | 21 |
| 7.Dodoma Jiji FC | 16 | 5 | 6 | 5 | 21 |
Mechi zijazo kwa Dodoma Jiji FC

Aprili 3,2026 ni Dodoma Jiji FC vs Fountain Gate FC
Aprili 14,2026 ni Coastal Union vs Dodoma Jiji FC, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
Aprili 16,2026 ni Mtibwa Sugar vs Dodoma Jiji FC, Jamhuri, Dodoma.
Viingilio mchezo wa Dodoma Jiji FC vs Azam FC
Jukwaa kuu ni 5,000
Mzunguko ni 3,000
SOMA HII: Aishi Manula amesaini mkataba kuitumikia Azam FC akitokea Simba SC | Rekodi zake na tuzo

Hitimisho
Dodoma Jiji FC vs Azam FC ni mwendelezo wa burudani ndani ya NBC Premier League. Wageni hawajapoteza mchezo wanakutana na wenyeji waliopoteza mechi 5. Je rekodi tamu ya matajiri wa Dar itaendelea ama itavunjwa na wakulima wa zabibu?

