Singida Black Stars vs Simba SC NBCRupia Elvis
  • Amas Obasogie kesi yake ya upangaji matokeo imefutwa na Kamati ya Nidhamu
  • Singida Black Stars vs Simba SC NBC Premier League Machi 11,2026 Uwanja wa Airtel
  • Ratiba, matokeo na msimamo NBC Premier League hii hapa


Singida Black Stars vs Simba SC NBC Premier League ni mcheza unaofuata. Amas Obasogie mlinda mlango anatarajiwa kurejea kikosini. Hiyo ni baada ya kuwa na kusimamishwa kutokana na hali ya wasiwasi upangaji wa matokeo. Machi 5 2026, Singida Black Stars 0-3 Yanga SC Amas hakuwepo hata benchi.

SOMA HII: Mtibwa Sugar 1-3 Singida Black Stars, KMC FC yapigwa na Azam FC/ Namungo FC vs Yanga SC lineups

Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu

Hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kubashiri SportPesa bonyeza picha hii chini.

aviator

Singida Black Stars vs Simba SC NBC Premier moto

Singida Black Stars vs Simba SC NBC
Nyota wa Singida Black Stars, Ayoub Lyanga kwenye mazoezi. Source: Singida Black Stars.

Ni Singida Black Stars vs Simba SC NBC Premier League moto utawaka uwanjani. Hii inatokana na wababe hawa kuwa na vikosi vyenye wachezaji bora. Uwepo wa Joseph Guede, Metacha Mnata kwa wenyeji kunaongeza ushindani.

Msimamo wa Singida Black Stars vs Simba SC

POSPWDLPts
4.Simba SC1173124
9.S.B.S1254319

Ratiba ya Simba SC

Machi 11 2026, Singida Black Stars vs Simba SC, NBC Premier League

Machi 14,2026, TRA United vs Simba SC, NBC

Machi 19,2026, Pamba Jiji FC vs Simba SC, NBC

Machi 22,2026, Simba SC vs TRA United, NBC

SOMA HII: Simba SC 1-0 Singida Black Stars 28 Mei 2025: Matokeo, magoli, wafungaji, h2h, Kifuatacho Kariakoo Dabi

aviator

Msimamo wa 5 bora NBC Premier League

Fulltime: Yanga SC 0-0 Simba SC NBC
Yanga SC vs Simba SC NBC Premier League.
 MPWDLPTS
Yanga SC12102032
JKT Tanzania1777328
3. Azam FC1266024
4.Simba SC1173124
5.Pamba Jiji FC1566324

Matokeo ya mechi zilizopita Singida Black Stars

Mtibwa Sugar 1-3 Singida Black Stars
Singida Black Stars kwenye moja ya mchezo wa ushindani,

Machi 8,2026, Singida Black Stars 3-1 Songea United, (CRDB Federation Cup)

Machi 5,2026, Singida Black Stars 0-3 Yanga SC, (NBC)

Machi 3,2026, Singida Black Stars 1-0 Coastal Union, (NBC)

Februari 26,2026, Namungo FC 1-1 Singida Black Stars, (NBC)

Februari 22,2026, Mtibwa Sugar 1-3 Singida Black Stars, (NBC)

SOMA HII: Simba SC 1-3 Singida Black Stars Mei 31: Magoli yote nusu fainali CRDB Cup, H2H, Fainali Yanga SC vs Singida Black Stars

aviator

Matokeo ya mechi zilizopita Simba SC

KMC FC02Simba SCFebruari 11,2026, NBC
Simba SC100 Stade MalienFebruari 14,2026/CAF
Tanzania Prisons02Simba SCFebruari 22,2026/NBC
Dodoma Jiji FC00Simba SCFebruari 25,2026/NBC
Yanga SC00Simba SCMachi Mosi 2026/NBC

Hitimisho

Singida Black Stars vs Simba SC NBC Premier League wakali kazini. Uwanja wa Airtel utapigwa mchezo mkubwa kwenye ligi. Kupoteza kwa Singida Black Stars mbele ya Yanga SC kutaongeza ugumu mchezo ujao? Dakika 90 zitaamua.

Share this: