- Mtibwa Sugar vs Singida Black Stars saa 8:00 mchana, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
- Yanga SC vs Simba SC kazini leo NBC wababe hawa wawili wote watakuwa ugenini.
- KMC FC vs Azam FC, Uwanja wa KMC Complex saa 10:15 jioni.
Yanga SC vs Simba SC kazini leo NBC Premier League. Viporo vinaendelea kupunguzwa. Mechi hizi hazikuchezwa kutokana na ushiriki wao mashindano ya CAF. Azam FC, Singida Black Stars,Simba SC na Yanga SC ziliishia hatua ya makundi. Jumapili Februari 22 2026 kuna mechi zamoto.
Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa hivi
Hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Bashiri na SportPesa uvune mkwanja sasa hivi.
SOMA HII: Simba SC kuigomea Kariakoo Dabi? Kisa Uwanja wa New Amaan Complex, barua yajibiwa

Yanga SC vs Simba SC kazini leo NBC kupambana na nani?

Vigogo Yanga SC vs Simba SC kazini leo NBC kucheza mechi za ligi kila mmoja ugenini. Namungo FC vs Yanga SC watacheza na Tanzania Prisons vs Simba SC watakuwa uwanjani saa 3:00 usiku.
Leo Mtibwa Sugar vs Singida Black Stars watapepetuana. KMC FC vs Azam FC watakuwa Uwanja wa KMC Complex, Dar.
Ratiba ya NBC Premier League hii hapa
Mtibwa Sugar vs Singida Black Stars, (S.B.S) saa 8:00 mchana, Jamhuri, Dodoma.
Mtibwa Sugar watakuwa nyumbani wakiwakaribisha Singida Black Stars. Huu mchezo utakuwa wa kwanza leo ambapo utachezwa mchana. Uwanja wa Jamhuri, Dodoma zitapichezwa mechi mbili na ile ya Tanzania Prisons vs Simba SC.
Ikumbukwe kwamba Tanzania Prisons uwanja wao wa nyumbani ni Sokoine, Mbeya. Mara baada ya mchezo vs Namungo FC ulifungiwa. Tayari kwa sasa umefunguliwa baada ya marekebisho kufanyika. Hivyo mechi zijazo za Prisons zitachezwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

| MP | W | D | L | PTS | |
| 4.Mtibwa Sugar | 14 | 5 | 6 | 3 | 21 |
| 13.S.B.S | 8 | 3 | 3 | 2 | 12 |
KMC FC vs Azam FC, saa 10:15 jioni, Uwanja wa KMC Complex
Matajiri wa Dar, Azam FC watakuwa ugenini kuikabili KMC FC. Wakusanya mapato hawajawa na mwendo mzuri kwa kuwa wanaburuza mkia. Kwenye hatua ya 64 bora CRDB Federation Cup wakiwa nyumbani walifungashiwa virago na Bandari FC. Leo ni siku nyingine ya kazi.

| MP | W | D | L | PTS | |
| 9.Azam FC | 8 | 4 | 4 | 0 | 16 |
| 16. KMC FC | 15 | 2 | 2 | 11 | 8 |
Namungo FC vs Yanga SC, saa 1:00 usiku, Uwanja wa Majaliwa
| MP | W | D | L | PTS | |
| 3. Yanga SC | 8 | 7 | 1 | 0 | 22 |
| 5.Namungo FC | 14 | 5 | 5 | 4 | 20 |
Tanzania Prisons vs Simba SC, saa 3:00 usiku, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
SOMA HII: Yanga SC vs Simba SC joto linazidi kupanda/ Ratiba, msimamo

Matokeo ya mechi za Tanzania Prisons NBC Premier
| 02/02/2026 | Mtibwa Sugar | 2 | 1 | Tanzania Prisons |
| 10/02/2026 | Tanzania Prisons | 1 | 4 | Coastal Union |
| 06/02/2026 | Mashujaa FC | 0 | 0 | Tanzania Prisons |
| 14/02/2026 | Tanzania Prisons | 3 | 2 | Namungo FC |
Matokeo ya Simba SC NBC Premier League
| 07/12/2025 | Simba SC | 0 | 2 | Azam FC |
| 18/01/2026 | Simba SC | 1 | 1 | Mtibwa Sugar |
| 29/01/2026 | Simba SC | 2 | 0 | Mashujaa FC |
| 11/02/2026 | KMC FC | 0 | 2 | Simba SC |
Tanzania Prisons vs Simba SC msimamo NBC Premier
| MP | W | D | L | PTS | |
| 7. Simba SC | 8 | 6 | 1 | 1 | 19 |
| 14.T. Prisons | 13 | 3 | 3 | 7 | 12 |
Hitimisho
Yanga SC vs Simba SC kazini leo NBC Premier League zitakuwa ugenini. Timu zote mbili zimetoka kupata matokeo mechi za CRDB Federation Cup hatua ya 64 bora. Mnyama alishinda mbele ya Greenland FC na Yanga SC mbele ya Cosmopolitan. Kwa timu zinazocheza leo ni KMC FC pekee ilipoteza mchezo. Je matokeo yatakuaje leo?

