Yanga SC vs Simba SC jotoJob Dickson
  • Hii hapa ratiba ya mechi za Yanga SC kabla ya mchezo wa Kariakoo Dabi
  •  Yanga SC vs Simba SC joto linazidi kupanda, Machi Mosi 2026 ni siku ya mchezo wenyewe
  • Mabingwa watetezi Yanga SC vs Cosmopolitan FC, CRDB Federation Cup hatua ya 64

 Yanga SC vs Simba SC joto linazidi kupanda kwa watani wa jadi. Machi Mosi 2026 wababe hawa wanatarajiwa kukutana Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Kabla hawajakutana kesho ni Yanga SC vs Cosmopolitan FC mchezo wa CRDB Federation Cup.

Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa hivi

Hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Bashiri na SportPesa uvune mkwanja sasa hivi.

SOMA HII: Dabi ya Kariakoo Yanga SC vs Simba SC ni Machi Mosi 2026/ NBC Premier League ratiba

aviator

Yanga SC vs Simba SC joto linazidi kupanda ratiba ipoje?

Yanga SC vs Simba SC joto
Dube Prince mshambuliaji wa Yanga SC. Source: Yanga SC.

Yanga SC vs Simba SC joto linazidi kupanda kutokana na siku kutoganda. Kabla ya watoto haw awa Kariakoo kusaka pointi tatu kwenye ligi kuna mechi zinawakabili. Mabingwa watetezi wa CRDB Federadion Cup, Yanga SC kesho watakuwa kibaruani kuanza mbio kutetea taji hilo.

Ni mchezo wa hatua ya 64 bora Uwanja wa KMC Complex. Mshindi wa mchezo anapewa nafasi kusonga mbele hatua ya 32 bora. Atakayepoteza safari itakuwa imeishia hapo.

SOMA HII: Yanga SC 1-0 Simba SC: Highlights, magoli yote, h2h – Ngao ya jamii 2025

aviator

Yanga SC vs Simba SC msimamo NBC Premier League

 MPWDLPTS
3. Yanga SC871022
7. Simba SC861119

Hii hapa ratiba kamili ya Yanga SC kabla ya mechi ya Dabi

Depu CAF
Depu nyota mpya wa Yanga SC. Source: Yanga SC.
18/02/2026  Yanga SCvsCosmopolitan FC/ Uwanja wa KMC Complex
22/02/2026  Namungo FCvsYanga SC/ Uwanja wa Majaliwa
25/02/2026  Yanga SCvsJKT Tanzania/ Uwanja wa KMC Complex
01/03/2026  Yanga SCvsSimba SC/ Uwanja wa New Amaan Complex
05/03/2026  Singida B.StarsvsYanga SC
aviator

Hitimisho

Yanga SC vs Simba SC joto taratibu linazidi kuwa kali kwa wababe hawa. Timu zote mbili zimeishia hatua ya makundi CAF Champions League. Wananchi walikuwa kundi B na mnyama alikuwa kundi D.



Share this: