Al Ahly 2-0 Yanga SC CAFAl Ahly vs Yanga SC
  • Mahmoud Trezeguet amefunga magoli mawili mchezo wa hatua ya makundi dhidi ya Yanga SC
  • Al Ahly 2-0 Yanga SC CAF Champions League Januari 23,2026
  • Yanga SC inasalia nafasi ya pili, Al Ahly haijapoteza mchezo hatua ya makundi ikiongoza kundi B

Al Ahly 2-0 Yanga SC CAF Champions League matokeo rasmi. Nahodha Mahmoud Trezeguet amefunga magoli yote mawili dakika ya 45 na dakika ya 75. Huu unakuwa mchezo wa kwanza kwa Yanga SC kupoteza msimu wa 2025/26, Uwanja wa Borg El Arab.

SOMA HII: Yanga SC haijapoteza mechi 2025/26 NBC Premier League / Kariakoo Dabi inanukia, matokeo, rekodi

Je, bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

image

Al Ahly 2-0 Yanga SC CAF Champions League

Al Ahly 2-0 Yanga SC CAF
Kiungo wa Yanga SC, Maxi Nzengeli kwenye mchezo dhidi ya Al Ahly. Source: Yanga SC.

Ni Al Ahly 2-0 Yanga SC CAF Champions League wamevunja mwiko wa wapinzani kutopoteza. Katika mchezo wa tatu wa makundi timu zote mbili zilikuwa hazijapoteza. Matokeo haya yanawafanya Al Ahly kudizi kubaki kileleni kwenye msimamo wa kundi B.

Msimamo wa kundi B

 MPWDLPTS
1. Al Ahly32107
2. Yanga SC21114
3. AS Far20111
4.Kabylie20111

Takwimu mchezo wa Al Ahly 1-0 Yanga SC CAF

Al Ahly Yanga SC
10Mashuti9
5Kipa okoa1
57%Umiliki43%
14Faulo12
0Kadi nyekundu0
0Kadi za njano1
1Kona2
2Magoli0

Kikosi cha Al Ahly vs Yanga SC

Mlinda mlango

M. Shobeir

Mabeki

M.Hany

Y. Ibrahim

Y. Marei

A.Koka

Viungo

M. Attia

A. Dieng

Zizo

E.Ashour

M.Trezengeut

Mshambuliaji

M.Osman

SOMA HII: Kumekucha Al Ahly vs Young Africans SC CAFCL: Wananchi  kuwafuata Waarabu usiku huu

image

Kikosi cha Yanga SC vs Al Ahly

Yanga CAF
Yanga CAF Champions League 2025/26. Source: Yanga SC.

Mlinda mlango

Djigui Diarra

Mabeki

 Israel Mwenda

Boka

 Dickson Job

 Nondo

 Ibrahim Bacca

Viungo

 Damaro

 Duke Abuya

 Maxi Nzengeli

Allan Okelo

Mshambuliaji

Depu

Wachezaji wa akiba

Aboutwalib Mshery

 Assinki

 Yao

 Hussein

 Emma

Conte

 Mudathir

Pacome

Prince Dube

Share this: