- Karne ya 21 imeshuhudia wimbi kubwa la vipaji vya soka kutoka Afrika, kutoboa na kufanya vizuri nje ya Afrika.
- Wengi wao wakienda huko huenda kwa sababu za maendeleo ya kiuchumi na kutimiza ndoto.
- Ligi za Ulaya na Mashariki ya kati zimekuwa zikilipa mastaa wao fedha nyingi.
- Makala hii inakuletea orodha ya wachezaji 15 wa Afrika, wanaolipwa fedha nyingi zaidi kati ya wale wanaoshiriki AFCON 2025.
Kuanza kwa karne ya 21 kumeshuhudia wimbi kubwa la vipaji vya soka kutoka Afrika, kutoboa na kufanya vizuri nje ya Afrika. Wengi wao wakienda huko huenda kwa sababu za maendeleo ya kiuchumi na kutimiza ndoto. Ligi za Ulaya na Mashariki ya kati zimekuwa zikilipa mastaa wao fedha nyingi. Makala hii inakuletea orodha ya wachezaji 15 wanaolipwa fedha nyingi zaidi kati ya wale wanaoshiriki AFCON 2025.
SOMA HII PIA: Nigeria vs Tanzania AFCON 2025 – Live Score, H2H, lineups, utabiri, habari za timu
Orodha ya mastaa 10 wa AFCON 2025 wanaolipwa fedha nyingi Afrika
10. Yassine Bounou (Morocco, Al-Hilal) £158,515 = 530m kwa wiki

9. Edouard Mendy (Senegal, Al-Ahli) £203,808 = 681m kwa wiki

8. Achraf Hakimi (Morocco, PSG) £231,662 = 775m kwa wiki

7. Franck Kessie (Ivory Coast, Al-Ahli) £273,442 = 914m kwa wiki

6. Omar Marmoush (Egypt, Man City) £295,000 = 987m kwa wiki

5. Victor Osimhen (Nigeria, Galatasaray) £318,450 = 1.06 B kwa wiki

4. Mohamed Salah (Misri, Liverpool) £400,000 = 1.3 B

3. Kalidou Koulibaly (Senegal, Al-Hilal) £550,047 = 1.8 B

2. Sadio Mane (Senegal, Al-Nassr) £634,060 = 2.1 B

- Riyad Mahrez (Algeria, Al Ahli) £827,448 = 2.7 B


