AFKON,Ushindi ni SportPesa
  • Washindi watatu kila wiki wa AFKON,Ushindi ni SportPesa wanaondoka na Simu Janja.
  • Washindi 100 kila siku wanaondoka na TZS 5000.

Jumla ya washindi watatu,Simon James (Mwanza), Hamis Abdallah Juma (Shinyanga) na Eliasi Sanga (Mbeya) wameibuka na simu janja, leo asubuhi katika droo ya kwanza ya wiki ya AFKON, Ushindi ni SportPesa.

Droo hii ni sehemu ya promosheni ya AFKON, Ushindi ni SportPesa iliyoandaliwa na SportPesa katika msimu huu wa AFKON, na pia ni muendelezo wa zawadi ambazo zinatolewa kila siku kwa washindi 100 ambao hujishindia kiasi cha TZS 5,000.

Akizungumza baada ya droo iliyochezeshwa Makao Makuu ya SportPesa, Jijini Dar-Es-Salaam, Afisa wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano SportPesa Lydia Solomon anasema leo imechezeshwa droo ya kwanza katika wiki ya kwanza ya AFKON, Ushindi ni SportPesa ambapo wateja wa SportPesa wamejishindia Simu Janja.

AFKON,Ushindi ni SportPesa

‘’Kama mnavyofahamu leo imechezeshwa droo yetu ya kwanza ya wiki ya kwanza ya AFKON,Ushindi ni SportPesa ambapo wateja watatu kutoka Mbeya, Shinyanga na Mwanza, wameshinda simu janja, baada ya kubashiri na na kuibuka washindi wa AFKON, Ushindi ni SportPesa.

Kampeni hii inalenga kuwazawadia wateja wote wa SportPesa kupitia mitandao yote ya Airtel, Vodacom,Halotel na Tigo. Ili kuweza kushiriki mteja anatakiwa kuweka TZS 500 kwenye akaunti yake ya SportPesa na kisa kuweka ubashiri wake, kwa kufanya hivyo atakuwa ameingia kwenye droo ya kuweza kujishindia fedha taslimu Pamoja na simu janja”.

Ili kuweka bashiri yako,wateja wanaweza kupiga *150*87#, kutembelea tovuti yetu ya www.sportpesa.co.tz au kudownload APP yetu ya SportPesa.

 

Share this: