Mfalme wa uwanda wa nyika wa bara la America ya kaskazini amerudi kwenye gridi ya mchezo wa Kasino wa Buffalo King, Safari hii kupitia tovuti yetu ya Sportpesa.co.tz katika mchezo wa kimtandao unaoakisi maudhui ya pori la nyika lenye njia 200704 za kukuwezesha mteja wetu kushinda.
Kama nilivyosema hapo juu kwenye utanguluzi mchezo huu umeakisi na unahusisha wanyama ambao wanaishi porini na pia mazingira yenye uoto wa asili ili kuupa uhalisia katika mwonekano wake.
Alama kuu ya mchezo huu ni mnyama Nyati ambapo yeye anafuatiwa na mnyama Simba, Mbwamwitu, ndege tai, mnyama Gazelle, Alama za herufi na namba A, J, K, Q,9 na 10.
Hapo hapo kuna alama ya WILD ambayo ni picha ya Mwamba mkubwa mithili ya kipande cha mlima na alama ya SCATTER-hii ni maalum kwa ajili ya kuhuisha michezu ya bure.
Mchezo huu una sifa ya kuwa na maduara sita na safu nne (six reels and four rows) Reels ambapo kuna jumla ya mistari 200704 ya malipo.
Jambo la muhimu kushika katika makala hii ni kwamba mchezo huu unatoa kombinesheni ya malipo pale alama zinazofanana zinapoanguka katika maduara kimshazali kutoka duara la kwanza. Hii ianampa mchezaji wa mchezo huu njia 4,096 za malipo.
Njia hizi za malipo pamoja na alama ya WILD ndio kitu muhimu katika vitu vyote vilivyomo katika mchezo huu. Kitu kimoja ambacho mchezaji anatakiwa kukizingatia ni kupigania kupata michezo ya bure, almaarufu kama (free Spin)
MALIPO YA KAWAIDA
Kama ambavyo michezo yote ya kasino ni lazima kuwa na malipo mchezo huu wa Buffalo Megaways unatoa malipo kwa njia kuu mbili.
Njia ya kwanza ni kupitia malipo katika mchezo wa kawaida (base game payments). Base game katika michezo ya kasino maana yake ni mchezo mama. Hivyo katika mchezo huu mchezaji ataweza kulipwa kupitia kucheza kawaida pale ambapo alama mbali mbali za mchezo huu zitakapo shabihiana katika maduara kuanzia duara namba 2,3,4,5 mpaka 6.
Alama hizi kama zitadondoka katika maduara kama ambavyo namba hapo juu zinavyojionesha na pia kujipanga kwa mpangilio wa mistari mitatu ya alama za aina moja, basi amlipo yatafanyika kutegemeana na thamani ya alama hizo.
Njia ya pili ya malipo ya mchezo huu ni kupitia michezo ya bure (free Spins)’. Hapa mchezaji atapa malipo ambayo yamepanda thamani kupitia alama ya WILD. Kumbuka ili upate michezo ya bure ni lazima alama za SCATTER zijipange si chini ya nne.
Kama ambavyo nilivyotambulisha alama mwanzoni ambapo zipo jumla 13. Katika alama hizi alam 5 ni za malipo makubwa na alama 6 ni za malipo madogo na alama mbili zilizobakia ni SCATTER na WILD ambazo zenyewe hazihusiki na malipo ya moja kwa moja isipokuwa SCATTER inafanya kazi ya kujihuisha na alama yoyote itakayokuwepo katika duara ama safu kwa muda huo.
WILD YENYEWE inafanya kazi ya kuongeza thamani alama zitakazokuwa zimejipanga kuanzia maduara matatu na kuendelea.
MICHEZO YA BURE
Ili mchezaji wetu apate michezo ya bure itamtapasa kupata sio chini ya alama nne za SCATTER na kuendelea. Alama hizi zitahuisha michezo ya bure na kumpatia mchezaji wetu nafasi ya kuingiza pesa ambayo ni sawa na faida kwake.
Pamoja na michezo mingi isiyo na kikomo ya michezo ya bure, maajabu makubwa ya mchezo huu yapo katika alama ya WILD ambayo inasifika kupandisha thamani malipo ambayo mchezaji atayapata hasa hasa wakati wa michezo ya bure.
Kwanza alama hii ina uwezo wa kujihuisha na alama zote za mchezo huu kasoro SCATTER na FREE SPIN. Uzuri ama utamu wa alama hii unapatikana pale mchezaji anapopata alama ya bure. Ikiwa upo ndani ya michezo ya bure basi alama hii itafanya kazi ya kujizidisha X2, X3 na X5 katika kila malipo utakayokuwa unapata.
Mizunguko ya bonus inaweza kujihuisha kwa kutoa alama 2,3,4,5 au 6 ambayo hii inakupa michezo zaidi ya bure mpaka 100.
Wataalamu wa michezo ya kasino ambao wameshawahi kucheza mchezo huu wanakwambia, mchezo huu wa Buffalo King una staili ya kipekee ya malipo ambayo huwaacha midomo wazi wale wote ambao hujaribu kucheza kwa mara ya kwanza.
Aghalabu mchezo huu unaweza ukakufanya ukalemaa kwa namna ambavyo zawadi zake kwa maana ya malipo zilivyopangiliwa, ingawaje lazima kuweka angalizo kuwa si kila mara mchezaji atashinda vitita vikubwa sana.
Jambo la msingi ni kujua namna gani utaweza kudhibiti hisia zako au mahaba yako ya kutafuta hela za Buffalo king kwa namana ambayo haita leta madhara, kutokana na namna mchezo huu unavyoweza kukushawishi kubaki ukucheza.
HITIMISHO
Kwa hakika mchezo huu wa Buffalo King ni moja ya michezo ya kuvutia kwa namna mpangilio wa malipo yake ulivyowekwa na hivyo unaweza kukupagawisha mchezaji ukikupa matumaini ya kupata pesa nyingi.
Ni matumaini yangu utapendelea kuujaribu mchezo huu wa Bufallo King. Kucheza tembelea tovuti yetu sportpesa.co.tz kisha amgalia kitufe kilichoandikwa ‘’Kasino’’, bonyeza kisha subiria kurasa ikishafunguka angalia kitufe cha ‘’popular’’, kibonyeze na utaukuta mchezo huu.

