POLISI TANZANIA VS MTIBWA- Ni siku ya hukumu
Klabu ya Polisi Tanzania leo alasiri inatimba uwanjani kupambana na timu ya Mtibwa Sugar, katika uwanja wa Ushirika Moshi, katika mechi za kumalizia msimu wa ligi kuu ya soka Tanzania,…

Ligi Kuu Tanzania inaelekea ukingoni ambapo baadhi ya timu zimesalia na michezo minne na nyingine mitano na hadi sasa bado hakuna iliyothibitika kusalia au kushuka daraja kulingana na mahesabu ya…