Mtibwa Sugar 0-1 Yanga SC takwimu za dakika 45HT
  • Pacome Zouzoua anafunga goli la kuongoza dhidi ya Mtibwa Sugar, NBC Premier League
  • Mtibwa Sugar 0-1 Yanga SC takwimu dakika 45, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
  • Ukame wa magoli mechi mbili mfululizo umefutwa je watashikilia bomba?

Mtibwa Sugar 0-1 Yanga SC takwimu dakika 45 za mwanzo. Wananchi wanakwenda mapumziko wakiongoza goli moja. Mfungaji Pacome Zouzoua dakika ya 23.

SOMA HII: Yanga SC wanaanza mabadiliko leo NBC Premier League vs Mtibwa Sugar/ H2H, prediction

Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu

Hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kubashiri SportPesa bonyeza picha hii chini

Aviator

 Mtibwa Sugar 0-1 Yanga SC takwimu dakika 45 tumekusogezea

Mtibwa Sugar 0-1 Yanga SC takwimu za dakika 45
Zimbwe Jr vs Mtibwa Sugar NBC Premier League. Source: Yanga SC

Mtibwa Sugar 0-1 Yanga SC takwimu dakika 45 hizi hapa kutoka Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Yanga SC wanaongoza kwenye umiliki wa mchezo. Mtibwa Sugar wamepiga kona moja huku wageni wakipiga kona 3.

Mtibwa Sugar Yanga SC
1Mashuti5
0Lenga lango2
36%Umiliki64%
1Mashuti yasiyolenga lango3
0Kadi nyekundu0
1Kadi ya njano0
1Kona3
0Magoli1

Mabadiliko yameanza rasmi Yanga SC

Pacome Yanga SC
Pacome mfungaji wa goli la kuongoza mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar. Source: Yanga SC.

Rasmi mabadiliko yameanza kuonekana kwenye mchezo wa leo Yanga SC wakifunga goli katika dakika 45 za mwanzo. Mashuti ambayo wamepiga langoni ni 5 na mawili yamelanga lango. Wenyeji Mtibwa Sugar wamekamilisha dakika 45 bila shuti ambalo limelenga lango.

Msimamo  wa Mtibwa Sugar vs Yanga SC

POSMPWDLPTS
1. Yanga SC16124040
9.Mtibwa Sugar FC1755621

SOMA HII: Yanga SC haijapoteza mechi 2025/26 NBC Premier League / Kariakoo Dabi inanukia, matokeo, rekodi

Aviator

Hitimisho

Mtibwa Sugar 0-1 Yanga SC takwimu za dakika 45. Vinara wa ligi wanafunga goli mara baada ya ukame kwenye mechi mbili mfululizo. Je wataulinda ushindi mpaka mwisho ama Mtibwa Sugar watatibua?

Share this: