Pamba Jiji FC waigomea Simba SCOura vs Pamba Jiji FC
  • Anicent Oura dakika ya 33 anafunga goli la kuongoza kwa mnyama ugenini
  • Pamba Jiji FC 1-1 Simba SC NBC Premier League
  • James Mwashinga anafunga goli la usawa kwa wenyeji dakika ya 36

Pamba Jiji FC 1-1 Simba SC dakika 45 za mwanzo Uwanja wa CCM Kirumba. Anicent Oura alifunga goli la kuongoza dakika ya 33. Dakika 3 mbele Pamba Jiji FC walisawazisha kupitia kwa James Mwashinga dakika ya 36.

SOMA HII: Simba SC yajivunia ubora wa kikosi 2025/26/ Fixture, Standings

Aviator

HT: Rekodi za Pamba Jiji FC 1-1 Simba SC SC

Pamba Jiji FC 1-1 Simba SC
Mpanzu vs Mashujaa FC
Pamba Jiji FC Simba SC
3Mashuti3
3Lenga lango2
47%Umiliki53%
0Mashuti yasiyolenga lango1
0Kadi nyekundu0
0Kadi ya njano0
0Kona0
1Magoli1

Msimamo wa Pamba Jiji FC vs Simba SC

POSMPWDLPTS
3.Simba SC1384128
5.Pamba Jiji FC1667325

Kikosi cha Pamba Jiji FC vs Simba SC

 Langoni ni Yona Amosi.

Wachezaji wengine ni Abdulmajid Mangalo, Ibrahim Abrahim, Mathew Tegisi, Peter Lwasa, Keneth Kunambi, Sharpahn Sawa, Zabona Mayombya, James Mwashinga, Hussen Kibailo na Michael Samamba.

Wachezaji wa akiba

Brian, Nahimana, Amosi Kadikilo, Abdoulaye Camara, Abdallah Khamis, Denis Richard, John Ben, Henry Msabila.  

Kikosi cha Simba SC vs Pamba Jiji FC

Langoni

 Mahamadou Kassali.

Mabeki

 Shomari Kapombe, De Reuck, Nickson Kibabage na Ismael Toure.

 Viungo

 Libasse Gueye, Ellie Mpanzu, Alasane Kante, Yusuph Kagoma na Clatous Chama

 Mshambuliaji

 Anicent Oura.

Wachezaji wa akiba

Bashiri Salum, Anthony Mligo, Vedastus Masinde, Duchu, Hussen Abel, Naby Camara, Neo Maema, Hussen Mbegu,Semfuko na Morice.

SOMA HII: Ratiba ya Simba SC 2025/26 Machi dakika 450 za kazi/ Msimamo, matokeo

Aviator
Share this: