Tanzania Prisons 0-1 Yanga SC NBC Premier League matokeo rasmi Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Depu amefunga goli la ushindi dakika ya 79. Huu ni mchezo wa 11 vinara wa ligi kushinda. Kituo kinachofuata ni Azam FC vs Yanga SC, Machi 15,2026, Uwanja wa Mkapa.
SOMA HII: Ratiba ya Yanga SC 2025/26 ni moto/ Mechi 5 NBC Premier League ugenini/ Msimamo, matokeo
Je, bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Tanzania Prisons 0-1 Yanga SC NBC Premier League takwimu

Tanzania Prisons 0-1 Yanga SC NBC Premier League 2025/26. Wenyeji wamekomba dakika 90 bila kupiga shuti ambalo limelega lango. Ni kadi 3 za njano walionyeshwa Prisons.
Jeremia Juma dakika ya 45, George Mpole dakika ya 50 na Kelvin dakika ya 78 walionywa kwa kadi ya njano. Depu aliingia kipindi cha pili dakika ya 61 akichukua nafasi ya Damaro. Wananchi wanaondoka ugenini na pointi tatu muhimu.
| Tanzania Prisons | Yanga SC | |
| 0 | Mashuti | 7 |
| 0 | Lenga lango | 2 |
| 31% | Umiliki | 69% |
| 0 | Mashuti yasiyolenga lango | 5 |
| 0 | Kadi nyekundu | 0 |
| 3 | Kadi ya njano | 0 |
| 0 | Kona | 7 |
| 0 | Magoli | 1 |
Msimamo Tanzania Prisons vs Yanga SC
| POS | MP | W | D | L | PTS |
| 1. Yanga SC | 13 | 11 | 2 | 0 | 35 |
| 15. Tanzania Prisons | 16 | 3 | 4 | 9 | 13 |
Kikosi cha Tanzania Prisons vs Yanga SC
Langoni ni Mussa Mbissa
Lambart Sabiyanka
Doto Shaban
Jeremia Juma
Marco Mhilu
Michael Mutinda
Wema Sadoki
Salum Kimenya
Maurince Owino
George Mpole
Haruni Chanongo
Wachezaji wa akiba
Emmanuel Martin, Never Kaboma,Kelvin Sagati, Heritier, Masoud Abdalah, Ramadhan Mwenda, Edward Mwakyusa, Samson Mbangula, Oscar Mwajanga na Idd Lugendo.
SOMA HII: NBC Premier League wiki ya moto/ Singida Black Stars vs Simba SC/ Tanzania Prisons vs Yanga SC

Kikosi cha Yanga SC vs Tanzania Prisons

Langoni
Djigui Diarra
Mabeki: Israel Mwenda, Zimbwe Jr, Nondo, Bacca. Viungo ni Damaro, Abuya, Maxi, Mudathir na Okello.
Mshambuliaji ni Prince Dube.
Wachezaji wa akiba
Masalanga, Abubakari, Assink, Andabwile, Yao, Abdulnasir, Shekhan, Edmund, Bupa, Depu.

