Yanga SC 7-1 Polisi Tanzania CRDBDepu hat trick
  • Depu amenadika rekodi ya kufunga hat trick Uwanja wa KMC Complex
  • Yanga SC 7-1 Polisi Tanzania CRDB Federation Cup hatua ya 32 bora
  • Tanzania Prisons vs Yanga SC ni mchezo unaofuata kwa mabingwa watetezi NBC Premier League
  • Hawa hapa wafungaji wa magoli yote 7-1 Machi 8,2026

Baada ya ushindi wa Yanga SC 7-1 Polisi Tanzania CRDB Federation Cup kituo kinachofuata ni Mbeya. Mshambuliaji Depu alifunga hat trick Uwanja wa KMC Complex, Machi 8,2026. Frank Asinki alijifunga goli dakika ya 81.

SOMA HII: Yanga SC yaichapa 5-0 JKT Tanzania NBC Premier League Simba SC anafuata/ Highlights, score, standings

Je hujashinda? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa hivi

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

image

Yanga SC 7-1 Polisi Tanzania CRDB Federation Cup, Depu hat trick

Yanga SC 7-1 Polisi Tanzania CRDB
Muda na Depu wachezaji wa Yanga SC. Source: Yanga SC.

Dakika 90 ubao ulisoma Yanga SC 7-1 Polisi Tanzania CRDB Federation Cup. Mudathir Yahya alifungua pazia dakika ya 01. Depu alifunga magoli matatu dakika ya 22,34 na 59. Joseph Majagi alijifunga dakika ya 38, Buba Jameh alifunga dakika ya 76.

Abdulnasir alifunga goli la 7 dakika ya 84. Ushindi huo unawapa tiketi mabingwa watetezi kusonga hatua ya 16 bora. Mchezo ujao itakuwa ni Yanga SC vs TMA Stars hatua ya 16 bora.

Kituo kinachofuata ni Tanzania Prisons vs Yanga SC

Mchezo ujao mabingwa watetezi watakuwa Mbeya. Huu ni mchezo wa NBC Premier League unatarajiwa kuchezwa Machi 12,2026. Uwanja wa Sokoine utawakaribisha wanaume 22 kwenye msako wa pointi 3 muhimu.

Ratiba ya Yanga SC 2025/26

Ratiba ya Yanga SC 2025/26
Bacca beki wa Yanga SC. Source: Yanga SC.
Tanzania PrisonsvsYanga SCNBC PremierMachi 12 2026
Azam FCvsYanga SCNBC PremierMachi 15 2026
TRA UnitedvsYanga SCNBC PremierMachi 18 2026
Mtibwa SugarvsYanga SCNBC PremierMachi 21 2026

SOMA HII: Ratiba ya Yanga SC 2025/26 NBC Premier League, CAF Champions League/ Live scores

image

Msimamo wa 5 bora NBC Premier League

 MPWDLPTS
Yanga SC12102032
JKT Tanzania1777328
3. Azam FC1266024
4.Simba SC1173124
5.Pamba Jiji FC1566324

Matokeo ya mechi 6 zilizopita Yanga SC

Zimbwe Jr vs Simba
Yanga SC 0-0 Simba SC, NBC Premier League.
AS FAR Rabat10Yanga SCFebruari 7,2026/CAF
Yanga SC30JS KabylieFebruari 15,2026/CAF
Namungo FC01Yanga SCFebruari 22,2026/NBC
JKT Tanzania05Yanga SCFebruari 25,2026/NBC
Yanga SC00Simba SCMachi Mosi 2026/NBC
Singida Black Stars03Yanga SCMachi 15 2026/NBC

Hitimisho

Yanga SC 7-1 Polisi Tanzania CRDB Federation Cup rekodi imeandikwa KMC Complex. Mabingwa watetezi wanasonga hatua ya 16 kwa ushindi mnono. Je TMA Stars watauzuia moto wa mabingwa watetezi wa CRDB Federation Cup? Dakika 90 zitatupa majibu.

image
Share this: