- Yanga SC 0-0 Simba SC ni matokeo yalipota kwenye mchezo wa Machi Mosi 2026.
- Ratiba ya Simba SC 2025 2025/26 Machi ni dakika 450 za kazi kwa wababe hao kutoka Kariakoo
- Tanzania Premier League Simba SC ni nafasi ya 3 tofauti ya pointi 5 na vinara wa ligi
Ratiba ya Simba SC 2025/26 Machi nyumbani ni mechi mbili na tatu ugenini kusaka ushindi. Steve Berkar mbinu zake zinatarajiwa kutumika dakika 450. Mchezo uliopita ilikuwa Yanga SC 0-0 Simba SC kwenye Kariakoo Dabi.
SOMA HII: Usajili wa Chama Simba SC washtua! Mayele, Kagere, Okwi wafunguka Mazito
Bado hujashinda mamilioni ya SportPesa?
Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Bashiri na SportPesa uvune mkwanja sasa hivi kwa kubonyeza picha hapo chini.

Ratiba ya Simba SC 2025/26 Machi dakika 450 za kazi Machi

Kwenye ratiba ya Simba SC 2025/26 Machi ni mechi 5 kali kwa wababe hao kuwa uwanjani. Miongoni mwa mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ni ule wa Machi 7,2026. Singida Black Stars vs Simba SC kutokana na timu zote kuwa na uwekezaji mkubwa. Kituo kinachofuata kwa mnyama ni mchezo wa hatua ya 32 bora CRDB Federation Cup.
Hii hapa ratiba ya Simba SC 2025/26 namna hii
Simba SC vs B19 FC, CRDB Federation Cup, Uwanja wa Mej Gen Isamuhyo.
Machi 7 2026, Simba SC vs B19 FC, CRDB Federation Cup
Machi 11 2026, Singida Black Stars vs Simba SC, NBC Premier League
Machi 14,2026, TRA United vs Simba SC, NBC
Machi 19,2026, Pamba Jiji FC vs Simba SC, NBC
Machi 22,2026, Simba SC vs TRA United, NBC
Msimamo wa NBC Premier League

| MP | W | D | L | PTS | |
| Yanga SC | 11 | 9 | 2 | 0 | 29 |
| JKT Tanzania | 17 | 7 | 7 | 3 | 28 |
| 3. Simba SC | 11 | 7 | 3 | 1 | 24 |
| 4.Pamba Jiji FC | 15 | 6 | 6 | 3 | 24 |
| 5.Azam FC | 11 | 6 | 5 | 0 | 23 |
SOMA HII: Simba SC yajivunia ubora wa kikosi 2025/26/ Fixture, Standings

Matokeo ya mechi 5 zilizopita Simba SC
| KMC FC | 0 | 2 | Simba SC | Februari 11,2026, NBC |
| Simba SC | 1 | 0 | 0 Stade Malien | Februari 14,2026/CAF |
| Tanzania Prisons | 0 | 2 | Simba SC | Februari 22,2026/NBC |
| Dodoma Jiji FC | 0 | 0 | Simba SC | Februari 25,2026/NBC |
| Yanga SC | 0 | 0 | Simba SC | Machi Mosi 2026/NBC |
SOMA HII: Depu straika mpya Yanga, Gueye huyoo Simba: Tetesi usajili mpya Ligi Kuu Bara 2025/26
Hitimisho
Ratiba ya Simba SC 2025/26 Machi inaendelea mara baada ya kukamilika kwa mchezo wa Kariakoo Dabi. Mnyama kwenye NBC Premier League ameachwa kwa tofauti ya pointi 5 na kinara wa ligi. Yanga SC ni pointi 29 kibindoni na Simba SC pointi 24. Timu zote zimecheza mechi 11.


