Simba SC 3-0 Greenland FCMwangosi
  • Yanga SC vs Cosmopolitan FC Februari 18,2026 Uwanja wa KMC Complex saa 1:00 usiku
  • Simba SC 3-0 Greenland FC CRDB Federation Cup, Neo Maema afunga goli la jioni
  • Mbeya City wapewa ushindi wa mezani, Biashara United hawajatokea uwanjani

Simba SC 3-0 Greenland FC ni matokeo rasmi mchezo wa CRDB Federation Cup hatua ya 64 bora. Baraka Mwangosi amefunga goli dakika ya 12, Anthony Mligo dakika ya 45 na Neo Maema dakika 90 Uwanja wa Meja Isahmuyo. Ushindi huo unampa tiketi mnyama kusonga hatua inayofuata.

SOMA HII: Usajili wa Chama Simba SC washtua! Mayele, Kagere, Okwi wafunguka Mazito

aviator

Je, bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Ni zamu yako sasa, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Simba SC 3-0 Greenland FC Chama asugua benchi

Simba SC 3-0 Greenland FC
Chama Clatous kiungo mshambuliaji wa Simba SC. Source: Simba SC.

Wakati Simba SC 3-0 Greenland FC kiungo mshambuliaji Clatous Chama alianza kwa kusugua benchi. Mbali na Chama mlinda mlango Kassali, Alex, Duchu, Toure, Naby Camara, Chasambi, Bashir, Seleman Mwalimu na Anicet Oura walianza benchi.

Kikosi cha kwanza kwa Kocha Mkuu, Steve Barker alianza na Abel langoni, Shomari Kapombe, Anthony Mligo, Mbegu, Vedastus, Semfuko, Gueye, Inno, Mwangosi, Neo Maema na Ellie Mpanzu.

Matokeo ya mechi nyingine hatua ya 64 bora

KMC FC33 (P 2-3)Bandari FC
Coastal Union31Nyumbu FC
Fountain Gate10Mapinduzi FC
Dodoma Jiji FC31Kilimanjaro Wonders
Transit Camp40Chama la Wana

Mbeya City vs Biashara United Mara

Mchezo huu haujachezwa kutokana na Biashara United kutokufika uwanjani. Mbeya City walifika na kufuata taratibu zote. Baada ya dakika 30 mwamuzi akamaliza mchezo na hivyo Mbeya City kupewa ushindi kutokana na kanuni.

SOMA HII: Ratiba ya Yanga SC 2025/26 NBC Premier League, CAF Champions League/ Live scores

aviator

Ratiba ya Februari 18,2026 CRDB Federation Cup

Depu goal CAF
Wachezaji wa Yanga SC kwenye moja ya mchezo wa ushindani. Source: Yanga SC.
18/02/2026  Yanga SCvsCosmopolitan FC/KMC Complex
18/02/2026  JKT TanzaniavsPan African/ Isahmuyo
19/02/2026  Azam FCvsEndumenti/ Azam Complex

Hitimisho

Simba SC 3-0 Greenland FC ni mwendelezo wa ushindi kwa timu hiyo kwa mechi za nyumbani. Katika mchezo uliopita ilikuwa Simba SC 1-0 Stade Malien, CAF Champions League. Leo kulikuwa na mabadiliko makubwa kikosi cha kwanza kutoka kwa benchi la ufundi.

aviator
Share this: